mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 461
Habari za wakati wakuu.
Mimi nimejifunza jambo, Nimetembelea karbuni ofis nyingi apa nchini kuanza na ofis za Chini yaan kata,Tarafa, Wilaya, Mkoa mpaka zile za ngazi ya juu, nilichojifunza watu wanaoishi ktk ofis za Kuanzia kata, Tarafa, Wilaya Hawa watu hawpo charming kwa mteja wao ni watu wanaoongozana Kama wao ndio nchi, ubabe mwingi na dharalau nyingi Sana,
Kimsingi nikaona Kuna tofauti kubwa na ofis za ngazi ya juu za Kuanzia mkoa, kanda nakuendelea ktk ngaz hii watu wanajali na wanasikiliza bila shida na munacheka pamoja na unarud ukiwa unafuraha ya kutoka ofisin Sasa sijajua hizi ofis za chin hazina wasomi wazuri au ni kwa kuwa wanaishi na wajinga wengi?