Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

shafii77

Member
Mar 18, 2019
28
45
Habarini wanaJF,

Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo yangu ni ya wastani, division 2, for both secondary na primary. Je, hii haitoathiri application yangu?

Napenda nifahamu vigezo gan wanazingatia ili kusajili international students maana nmeskia tu kuna baadhi ya tests inabidi nzifanye kama TOEFL, ACT, SAT, GRE na mingineyo, nahitaji nijiunge either in diploma in business au kozi za social science.

Nakaribisha maoni na msaada wenu pia
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,322
2,000
Kwa ulichokisoma A-level mdogo wangu anza tu kutafuta hela uendeshe maisha yako!

Hakuna sponsor atakufadhili ukasome kozi za sanaa labda awe nduguyo.
Nisikuvunje moyo sana kuna shirika la ki-israel (lakidini) kila mwaka hufadhili wanafunzi kwenda Minnesota kusoma na mimi ni mmoja wa wanufaika.

Kwa taarifa zaidi usinijie PM nenda SUA utapata taarifa zote kuwahusu na huenda ukawa na nyota ukafanikiwa licha ya sanaa yako.
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
132,814

Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.

Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
1,742
2,000
Ndio sponsor yupo anaishi hapo FLORIDA ndo maana nkapendekeza hyo state by the way nataka nkasomee diploma either masomo ya biashara ama political science
kwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?
Alafu pia usisomee political science, soma biashara itakufungua angalau akili hata ya kuendesha maisha yako political sayansi itakufanya uwe mpiga kelele tu.
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,322
2,000
Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.

Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh !

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Nahmala sipo Minnesota kwa sasa nilirejea Tanzania wakati Corona ndio imeanza kupamba moto.

Kwa baridi Minnesota ni kiboko nilikuwa najaribu kucheza mpira na washikaji kwenye ice wenyewe wametoka Brazil, S.Korea na India wamezoea hali ile nilikuwa naona naweza kurudisha namba kwa Mungu sio muda na sikutaka kujitenga😂

Huyu mdogo wetu kwa alichokisoma akafungue M-pesa tu au akomae na ushauri aliopewa hapo juu na EllySkyWilly
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,633

We nae na hiyo minnesota yako!

Kila saa minnesota minnesota! What the fucck is minnesota!

Unafikiri tunababaika na hiyo minnesota?

Uko bize kumkatisha mwenzako tamaa na kujisifu na hiyo minnesota yako uchwara!

Hao wazungu wako uliokuwa unacheza nao mpira walikuwa hata wanajali uwepo wako hapo minnesota kweli!? Au walikuwa wanakurushia maganda ya ndizi tu na kukuona kama nyani fulani?

Ohhh ati nilikuwa nacheza mpira na wazungu kwenye ice? SO WHAT!?

Wewe eleza, mtu akitaka kupata ufadhili afanye moja mbili tatu! FULL STOP!

Minnesota!!!!?
 
Mbona povu namna hii kamanda?
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
4,166
2,000
Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.

Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukamata leo kumbe upo huko?
 
shafii77

Member
Mar 18, 2019
28
45
kwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?
Alafu pia usisomee political science, soma biashara itakufungua angalau akili hata ya kuendesha maisha yako political sayansi itakufanya uwe mpiga kelele tu.
Bongo naeza jilipia mwenyew na kuwalipia wengine ata watatu
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,596
2,000
Hongera sana kama utafanikiwa kwenda kusoma florida, maana kuwa gator ama seminoles ni heshima kubwa...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom