Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China
Wizara hiyo imesema kuwa.
"Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama"
Source
CRI kiswahili
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian...
IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Published 17 hours ago on October 18, 2020By EurAsian Times Desk. The world is waking up to a new reality post the devastating pandemic that brought everything to a grinding halt. One of them is the...
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020.
Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10
Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
Miaka 40 baada ya kuanzishwa kama eneo maalum la kwanza la Ukanda wa Kiuchumi nchini China, Shenzhen imeibuka na kuwa alama ya mageuzi na ufunguaji mlango wa China. Mji huo umebadilika kutoka kijiji cha uvuvi na kuwa mji mkubwa wa viwanda na fedha.
Utafiti uliofanywa na Program ya Makazi ya...
Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako...
Habari za muda huu!
Rejea kichwa cha habari hapo Juu sisi ni waagizaji wa smartphones kwa gharama nafuu kutoka China specialized kwenye iphone na Samsung.
Mzigo hutumia siku 8-14 kwa maana haizid week 2 unakua ushapata simu yako mpya kabisa na kwa gharama nafuu mno wote tunawakaribisha
Kuanzia...
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi
Hadi Marekani ameanza kuweweseka
China Space Station: A space station deal between Kenya and China has put Kenya in the middle of the latest contest between the United States and China.
This is after the US raised alarm that the multi-billion dollar China space programme, of which Kenya is set...
Katika miaka 49 iliyopita tangu China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa mwaka1971, imekuwa ikitoa msaada na mchango mkubwa na kuwa mshiriki hai kwenye shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa. China imedumisha madhumuni na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kudumisha...
Preview
Nina Maumivu chini ya kitovu, takribani ni miezi mitano sasa nime angalia Utra sound wamesema kuna vijiwe,nimetumia dawa lakini maumivu bado yapo pale pale na sina UTI, henia wala tezi dume.
Naombeni msaada wenu wakuu
Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo.
Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
Tarehe ya mwisho ya Septemba 15 inaonekana inazidi kutisha kwa Huawei - laini ya usambazaji ya kampuni hiyo itapungua pamoja na kukatwa kutoka kwa supplier wa chip wa TSMC. Reuters inaripoti (ikinukuu media ya Kikorea) kwamba Samsung Display na LG Display zinatarajiwa kusitisha uuzaji kwa...
China 'kujenga' kambi za kijeshi Tanzania na Kenya
Jeshi la China
Getty ImagesCopyright: Getty Images
China inafikiria kujenga kambi za kijeshi katika nchi nne za Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya idara ya ulinzi ya Marekani.
Tanzania, Kenya, Ushelisheli na Angola zimetajwa kuwa miongoni mwa...
Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya vikwazo kama Huawei wakiituhumu kushirikiana na jeshi la China.
Kampuni ya SMIC imekataa vikali...
Chinese bridges are among the most developed and required high technology to develop their bridges that are a bit confusing though it required highly skilled engineers to build the bridges. The China government has maximized more capital on the developments thus this has became effective for the...
Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa.
Wale waliosema Tanzania itatengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.