China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,377
2,000
Wanabodi,

Siku moja tu baada ya kuachia nafasi yake serikalini, Waziri wa mambo ya nje (secretary of state) wa Marekani aliyemaliza muda wake, Mr Mike Pompeo, pamoja na jamaa wangine waliokuwa kwenye serikali ya Trump, wamewekewa zuio la kuingia nchini China.

Pompeo ambaye siku ya mwisho ya uongozi wake alitangaza kuwawekea vikwazo vya visa kuingia Marekani baadhi ya viongozi wa Tanzania akiwatuhumu kuvuruga uchaguzi, amezuiliwa kuingia China kwa kutuhumiwa kufanya kampeni ya kuichafua China, kuvuruga mahusiano kati ya China na USA, na kuingilia na kuhatarisha maslahi binafsi ya China.

Kila muosha huoshwa!

===

Hapo jana tarehe 20 Jan. China imetangaza kuwawekea rasmi vikwanzo viongozi 28 walio kuwa kwenye serikali ya Trump.

Miongoni mwa viongozi hao ni Secretary of State anayemaliza Muda wake Mike Pompeo.

Pia viongozi wengine ni kama trade chief Peter Navarro, National Security Advisers Robert O'Brien na John Bolton, Health Secretary Alex Azar, U.N. ambassador Kelly Craft and former top Trump aide Steve Bannon.

Sanction hiyo ni pamoja na kutoruhusiwa kuingia China, Hong Kong na Macao.

Pia makampuni na mashirika yoyote yenye uhusiano na viongozi hao, hayata fanya biashara na China.

China wanasema Sanction hiyo ni kutokana na viongozi hao, kwa nyakati tofauti kuingilia na kutoa maneno machafu kuhusu Chine yenye lengo la kuichafua na kuiangusha kiuchumi.

ZAIDI SOMA
China imposes sanctions on 28 Trump-era officials including Mike Pompeo and Steve Bannon for interfering 'in China's internal affairs'

China says it wants to cooperate with President Joe Biden's new US administration, while announcing sanctions against "lying and cheating" outgoing secretary of state Mike Pompeo and 27 other top officials under Donald Trump.

Key points:​

  • Beijing accused the outgoing and former officials of undermining China's interests and offending the Chinese people
  • They will be banned from entering mainland China, Hong Kong or Macao
  • Companies and institutions associated with them will be restricted from doing business with China
The move was a sign of China's anger, especially at an accusation Mr Pompeo made on his final full day in office that China had committed genocide against its Uyghur Muslims, an assessment that Mr Biden's choice to succeed Mr Pompeo, Antony Blinken, said he shared.

In a striking repudiation of its relationship with Washington under Mr Trump, the Chinese foreign ministry announced the sanctions in a statement that appeared on its website around the time that Mr Biden was taking the presidential oath.

Mr Pompeo and the others had "planned, promoted and executed a series of crazy moves, gravely interfered in China's internal affairs, undermined China's interests, offended the Chinese people, and seriously disrupted China-US relations", it said.

The other outgoing and former Trump officials sanctioned included trade chief Peter Navarro, national security advisers Robert O'Brien and John Bolton, health secretary Alex Azar, UN ambassador Kelly Craft and former top Trump aide Steve Bannon.

The 28 ex-officials and immediate family members would be banned from entering mainland China, Hong Kong or Macao, and companies and institutions associated with them restricted from doing business with China.

John Bolton was among the other outgoing and former Trump officials sanctioned.(AP: Susan Walsh)
China has imposed sanctions on US politicians in the past year, but targeting so many former and outgoing US officials on inauguration day was an unusual expression of disdain.

'All of that speaks to an effort to commit genocide'​

Mr Pompeo, who unleashed a barrage of measures against China in his final weeks in office, announced on Tuesday that the Trump administration had determined that China had committed "genocide and crimes against humanity" against Uyghur Muslims.

Mr Blinken said he agreed with Mr Pompeo's genocide assessment.

China has repeatedly rejected accusations of abuse in its western Xinjiang region, where a United Nations panel has said at least 1 million Uyghurs and other Muslims had been detained in camps.

Responding to the Xinjiang allegations, Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying told a media briefing on Wednesday: "Pompeo has made so many lies in recent years, and this is just another bald-faced lie".

"This US politician is notorious for lying and cheating, is making himself a laughing stock and a clown," she said.

Space to play or pause, M to mute, left and right arrows to seek, up and down arrows for volume.

Mr Blinken said he agreed with Mr Pompeo's genocide assessment.
Ms Hua said China hoped "the new administration will work together with China in the spirit of mutual respect, properly handle differences and conduct more win-win cooperation in more sectors".

"We hope the new US administration can have their own reasonable and cool-minded judgment on Xinjiang issues, among other issues."

However, Twitter has locked the account of China's US embassy for a tweet that defended China's policies in the Xinjiang region.

The Chinese Embassy posted this month saying that Uyghur women were no longer "baby making machines", citing a study reported by state-backed newspaper China Daily.

The tweet was removed by Twitter and replaced by a label stating that it was no longer available.

The US social media platform said the tweet violated the firm's policy against "dehumanisation".

"We've taken action on the Tweet you referenced for violating our policy against dehumanisation, where it states: We prohibit the dehumanization of a group of people based on their religion, caste, age, disability, serious disease, national origin, race, or ethnicity," a Twitter spokesperson said on Thursday.

Reuters
 

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,377
2,000
China nao wamesubiri muda wake ueshe ndipo wapanue kinywa au ni kujikosha t 😂😂😂 sasa ataenda kutafuta nini china? Iphone?
Aah..
Hao pimbi wa China hawana jipya. Aende kutafuta nini huko, bidhaa feki?!!!
Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya China na makampuni ya kimarekeni ndio maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda Marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, China, nk
 

pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
765
1,000
Zuio la USA linabaki PALEPALE.

Huwezi kufurahi aliyekuua akifa. Its illogical. Tanzania mnaitegemea sana USA lakini USA haiitegemei sana China. Mpaka viongozi wakuu wa Nchi wanalalia vyandarua vilivyoandikwa USAIDS. Au kwa hisani ya watu wa Marekani.
 

pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
765
1,000
Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya china na makampuni ya kimarekeni ndo maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, china
Siyo kama nyie mnavyoitegemea Marekani. Marekani haiwezi kushindwa kuendesha mambo yake kama miundombinu, huduma za afya na ajira kwa sababu ya China kuwazuia. Ila Tanzania bila USA Hakuna hata madawa, achilia mbali miradi kama BRN.
 

pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
765
1,000
Wamezuiwa wao kama wao,siyo serikali ya Marekani.Sasa watanzania waliozuiwa kuingia Marekani hawapo kwenye serikali?Muwe mnajisomea kwanza kabla ya kuweka uzi humu.

Wamezuiwa wao kama wao,siyo serikali ya Marekani.Sasa watanzania waliozuiwa kuingia Marekani hawapo kwenye serikali?Muwe mnajisomea kwanza kabla ya kuweka uzi humu.
 

Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
3,941
2,000
Pompeo aliyeajwa kwa jina na Biden katika hotuba baada ya kuapishwa. Amemtaja kama mtu aliyeharibu mahusiano na nchi marafiki na Marekani. Ameahidi kurudisha mahusiano na nchi za Kiislam.

Na moja ya kazi ya kwanza aliyofanya baada ya kuapishwa, ni kufutwa mara moja, azimio la nchi za Kiislam na nyingine zilizoitwa za kiharifu. Ameahidi kurudisha mahusiano mema na China.

 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,054
2,000
Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya china na makampuni ya kimarekeni ndo maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, china, nk
Thibitisha ziara binafsi (zisizo za kiofisi ama kiserikali) za Pompeo kwenda China wewe ambaye umetembea na hauko nyuma
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,142
2,000
China imewauma Huawei kufanywa ilichofanywa na wakina Trump.

Sisi nchi za Afrika tuko wapi? Huyu China kwa kutumia mitambo aliyowapa AU alikua anaiba data za vikao kila siku usiku na tulishindwa hata kumtaka aombe radhi.

Dependency inatumaliza.
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,433
2,000
Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya china na makampuni ya kimarekeni ndo maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, china, nk
Hao Wachina ndio wameenda kurundika makampuni yao kwenye masoko ya Hisa ya Marekani. Lakini hakuna Mmarekani anaenda kuorodhesha kampuni yake kwenye soko la hisa, China.
 

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,680
2,000
China imewauma Huawei kufanywa ilichofanywa na wakina Trump.

Sisi nchi za Afrika tuko wapi? Huyu China kwa kutumia mitambo aliyowapa AU alikua anaiba data za vikao kila siku usiku na tulishindwa hata kumtaka aombe radhi.

Dependency inatumaliza.
Kuwasema wachina n.k tunaona Rais lakini kuwatukuza USA ndio tunaona sawa, he wajua hizo computer za wa USA, wenyewe wanaweza kupata information zilizoko kwenye kifaa chako.

Kwanza unajua historically computer USA zilikuwa for military purpose, hivyo walivyo weza kugundua vitu vingine ndio kuachia computer for commercial purposes.

Je, ulishawahi kuwatakia USA nakuomba Radhi
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,142
2,000
Kuwasema wachina n.k tunaona Raisi lakini kuwatukuza USA ndio tunaona sawa, he wajua hizo computer za wa USA, wenyewe wanaweza kupata information zilizoko kwenye kifaa chako.
Kwanza unajua historically computer USA zilikuwa for military purpose, hivyo walivyo weza kugundua vitu vingine ndio kuachia computer for commercial purposes.
Je ulishawahi kuwatakia USA nakuomba Radhi
We na we mbona unaleta ufananishi wa mbingu na ardhi?

Mimi nimesema China ilikua inaiba data wewe unasema USA akiamua na yeye anaweza kupata data.

Hivi hata umeelewa nilichoandika? Unaelewa maana ya dependency?
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,636
2,000
Hao Wachina ndio wameenda kurundika makampuni yao kwenye masoko ya Hisa ya Marekani. Lakini hakuna Mmarekani anaenda kuorodhesha kampuni yake kwenye sokola hisa, China.
Nieleweshe, masoko ya hisa yanafanyaje kazi. China akirundika USA anapata faida gani, elimu please
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom