Kwa aliyefika China anisaidie kujibu hili swali

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu?

Nawasilisha tafadhari.

Enzi na enzi.
 
Hata asali inaitwa pinda kule china

Back
Top Bottom