Takriban watu 21 wamefariki dunia kufuatia mvua yenye baridi na upepo mkali wakati wanakimbia (Ultramarathon) katika Jimbo la Gansu Kaskazini Magharibi mwa China.
Maafisa katika eneo hilo wanasema mbio hizo zilizojumuisha watu 172 ziliathiriwa ghafla na hali mbaya ya hewa ambapo ndani ya...
Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
Uganda has signed a Ksh5 billion deal with China Roads and Bridge Corporation (CRBC) in order to link Kampala with the Standard Gauge Railway (SGR) in Kenya.
This is in a bid to enhance trade with Uganda as well as enable easier transport of goods via SGR from Kampala to Mombasa port...
China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars'
Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi
Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe.
=====
Mabaki ya roketi ya China yalipuka na...
UKUTA MKUU WA CHINA
中国的万里长城
THE GREAT WALL OF CHINA
Kimetungwa na Luo Zhewen (罗哲文)na Zhao Luo (赵洛)
Kimetafsiriwa na Tumaini
UTANGULIZI
Kwa wageni, “Ukuta Mkuu” hutajwa pamoja na China. Katika kitabu cha jiografia cha shule za msingi, wanafunzi walisoma habari kuhusu Ukuta Mkuu...
WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea.
Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?
Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16.
Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
SWAHILI IN CHINA
Writer: Tumaini
First, I would like to explain how I came to learn Swahili. Actually it was more or less an accident. When I was a high school student...
Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa.
Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii.
katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari...
Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G.
Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika “unakaribia kukauka”. Makala hiyo pia imemnukuu afisa mmoja wa Afrika Kusini akisema nchi za Afrika...
Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na...
21 April 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA
Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara zao Tanzania.
Mwakilishi huyo wa chamber hiyo ya wafanyabiashara amebainisha kwa sasa kuna zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.