cheti

  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
  2. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe afukuzwa kazi kwa madai kughushi cheti

    BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi. Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
  4. Omaryjr1

    JamiiForums Tanzania Kuhusu cheti Rita

    Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC inawakumbusha Wawekezaji kupata cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kabla ya kuanza utekelezaji wa miradi

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira linapenda kuwakumbusha wawekezaji wa miradi juu ya takwa la sheria ya mazingira linaloelekeza miradi kupata cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kabla ya kuanza utekelezaji wa miradi. Wito huo umetolewa na Afisa Elimu ya Jamii wa...
  7. Astro world

    JamiiForums Tanzania Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
  8. Haleedy

    JamiiForums Tanzania Kuna sheria yeyote inayotoa muongozo wa size ya cheti?

    Ningependa kujua hvi kuna sheria yoyote kuhusu size ya cheti cha kuhitimu chuo in gram ?
  9. Ester505

    JamiiForums Tanzania Msaada:kupata Cheti Cha ustawi wa jamii

    Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea?? Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi. Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye cheti cha labourbase anahitajika

    Habari nahitaji mwenye cheti cha mafunzo ya labourbase tuwasiliane kwa namba hii 0626402722
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza cheti cha kuzaliwa cha Form Four na Form Six unaweza kupata kingine?

    Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kutunukiwa Cheti cha kujali Maslahi ya Wasomaji wa hadithi JamiiForums

    Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa. Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji...
  16. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Cheti cha advanced education kipewe heshima inayostahili

    Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
  17. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi.. . Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu. Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cheti cha COVID-19

    Habari ndugu wana Jf! Naomba kufahamishwa wapi nitapata cheti cha COVID-19 kwa haraka , nipo Dar es salaam. Asanteni.
  20. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
Back
Top Bottom