cheti

  1. Trained To Train

    JamiiForums Tanzania Form six cheti

    Nilifaulu mtihani WA form six Resit Physics D na ADvMath D General study F lakini kupata cheti niliambiwa haiwezekani maana masomo ni kidogo. Je, hii ikoje? Nina result slip tu. Je, Kuna mabadiliko yoyote?
  2. Maho gel

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya cheti kisicho chako, je sheria ya kuzuia inakuwaje!

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho...
  3. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Cheti cha NIDA na JKT vinatofautiana majina wakuu, nifanyeje

    Habari wakuu. Naomba kuuliza, wakati napita jkt mujibu wa Sheria walitupa vyet vya jkt lakini kwa bahati mbaya wakati wanatupa Mimi jina langu la mwisho katika majina matatu lilikosewa kipindi kilee, kutokana na Mambo mengi wakati natoka kambini nilishindwa kufuata taratibu kurekebisha jina la...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??

    Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
  5. E

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ku-relaminate cheti ambacho kipo laminated na kikasomeka vizuri?

    Naomba kuuliza. Hivi uki re- laminate cheti kilicholaminat-iwa, may be lamination ya mwanzo imechoka, maandishi yataendelea kuonekana vizuri! Au yatapauka? Na je kitakuwa imara au ndo yaleyale?
  6. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa cheti kutoka Marriage Conciliation Board ni upi?

    Wakuu habari, Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa; BAKWATA (kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za kiislamu) na Taasisi za kikristo au kanisani ( kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria...
  7. Masunula

    JamiiForums Tanzania Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na NACTE kama nimepoteza?

    Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na nacte kama nimepoteza?
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

    WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO. HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

    Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
  12. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

  13. La Quica

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Wanabodi, Déclaration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wastani wa watu 38,400 kupata chanjo katika kila Mkoa

    Wadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550 Swali ni Je, ikitokea ukachoma then ukapoteza cheti inabidi ujipange upya kugongwa nyingine au inakuwaje? wataalamu plz help
  17. A

    JamiiForums Tanzania Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  18. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  19. KIBEBENYEKE

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?

    Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
Back
Top Bottom