Kutunukiwa Cheti cha kujali Maslahi ya Wasomaji wa hadithi JamiiForums

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa.

Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji.

Ulizuka mtindo watu wanatunga stories wanadai ni kweli yametokea. But wataalamu tukiingiza maabara majibu yanakuja kuwa jamaa anauza tu chai. Hili kwa kutumia kanuni za MAGAZIJUTO na kipimo cha diagnosis
tumefanikiwa sana kulikomesha.

Maana kuna waandishi ambao walifikia hatua ya kufikiria sisi wasomaji wote ni vilaza, mabozo, bwege, maniara, bolibo na hamnazo.

Sasa tunashukuru wengi wameamua kuwa wakweli na kuonesha kuwa ni chai tu wanayoandika inywewe kwa tahadhari.lakini pia ile tabia ya kuanzisha story na kukimbilia whatsapp na telegram nayo tumeikomesha. Sasa tunasema kama unaanzisha story malizia ustake tena ubembelezwe utadhani we demu mkali bikra.

Hatutaki mwandishi atake kupetiwa petiwa ni kuchochea ushoga hiyo tabia na huo hatuutaki. So anzisha story malizia lala mbele. Usitake kupata sababu ya kuchukulia maddmj humu na kusambaza ukimwi. So hilo nalizingatia sana. Na watu kadhaa wameshakumbana nami kama akina maugaka etc. Katika hili nipo serious na siangalii kama dogo nakufaham au vipi. Ili kusaidia wasomaji.

Wasomaji wengi wamekubaliana na hali hii ya mimi kuwasaidia kupitia kanuni kuu ya MAGAZIJUTO kufahamu ukweli wa story. Na pia kuwawekea wigo wa kufuata matakwa ya wasomaji waandishi makanjanja wanaoanza leta mapozi wakiona wafuatiliaji wengi.
 
Back
Top Bottom