Ukipoteza cheti cha kuzaliwa cha Form Four na Form Six unaweza kupata kingine?

Jul 8, 2022
47
50
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six

Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
 
Habari nitaelezea kwa experience yangu

Nilipoteza cheti cha kuzaliwa na cha form 4 mwaka 2014

Cheti cha kuzaliwa ilikua rahisi tu nenda office za ustawi wa jamii zilizopo karibu nawe au za RITA waambie watakutengenezea kingine

Kimbembe kipo kwenye cheti cha form 4 niliteseka sana. Kwanza make sure una loss report ya polisi, then weka tangazo la upotevu wa cheti chako kwenye gazeti.

Then chukua hio loss report na tangazo la gazeti nenda office za NECTA dar es salaam, utalipia kama skosei 100k

Utapewa cheti kingine cha form 4 ila pale juu kinaandkkwa “DUPLICATE” wakimaanisha kuwa umepewa copy ya pili. Ondoa shaka cheti hicho kinakubalika kiko sawa tu na kile cha kwanza kasoro maneno “DUPLICATE” pale juu

Changamoto ipo kwny kukipata sasa, nilifuatilia zaidi ya miaka 2 napigwa kalenda mpaka nkakata tamaa. But nikaja kupewa now niem relax

Nashauri ingia website ya NECTA utaona utaratibu wa kupata vyeti kwa wale waliopoteza
 
Back
Top Bottom