changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof. Anangisye: Chuo Kikuu makini hakiwezi kuvumilia Wanataaluma wasiofanya Utafiti

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii. Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
  2. J

    Mwambe atoa siku 14 kwa wawekezaji waliokutana na changamoto

    Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwazwa kutokana na maamuzi ya taasisi za Serikali kuandika barua na kuzipeleka wizarani ili kuweza kushughulikiwa. Ameyasema hayo leo mara baada ya kutembelea Kituo cha...
  3. Mwenye uzoefu na gari hizi: Raum New Model, Suzuki swift, Ist. Anitajie changamoto zake

    Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
  4. M

    Changamoto ya chakula maeneo ya kazi

    Ndugu zangu Wana jamii, Leo naomba maoni yenu juu ya changamoto mnazo pitia katika huduma ya Chakula hasa mnpo kua katika maeneo yenu ya kazi. Ni wapi, unatamani ungepata huduma ya chakula kitamu na chenye ladha nzuri ,nipate kukuhudumia? Je, kuhusu bei ya chakula ungependekeza iwe katika bei...
  5. Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
  6. B

    Anaomba ushauri, tabia za mumewe zinamchanganya

    Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida sana. 1). Jamaa mkimya sana akiamka asubuhi salamu anaaga anaenda kazini akirudi salamu anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni...
  7. N

    Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
  8. Shuhuda: Ni changamoto gani ulikumbana nayo wakati unaanza biashara yako?

    Habari za leo Ndugu zanguni. Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika Biashara yeyote ile. Ningependa tushare shuhuda mbalimbali walizokutana nazo pindi mnaanza kufungua...
  9. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  10. L

    Changamoto za barabarani usiku mkubwa

    Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini. Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
  11. J

    Je, ukataji tiketi wa mabasi ya mkoani kupitia mtandao una changamoto zozote?

    Habari zenu wakuu, Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi. Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
  12. Serikali atafute ufumbuzi wa foleni ya Temeke

    Kwa wakazi wa Temeke na maeneo yanayozunguka kumekuwa na shida ya usafiri kwa takribani mwezi sasa. Ndugu wana jamvi kwa wale wanaoishi wilaya ya Temeke kumekuwa na shida kubwa ya foleni ya magari. Kwa sasa kukaa barabarani kwa muda wa masaa 3 mpaka 4 ni kitu cha kawaida kabisa. Tunaomba...
  13. Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
  14. Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
  15. D

    M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

    Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
  16. Makamu wa Rais Dkt. Mpango, kuna Hospitali nyingine zaidi ya Benjamin Mkapa zinazohitaji kusikilizwa changamoto

    Wanabodi... Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango. Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...
  17. Serikali yaanza kuzifanyia kazi changamoto za Kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma. Akizungumza wakati...
  18. Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

    Habari za mda huu Wana JF, Mimi mdogo wenu katika ujenzi wa Taifa lakini pia ni mgeni katika jukwaa Lini nimeandika ivi kuomba ushauri na kujua ni vipi ww ulikabiliana nalo ili tatizo! Nipo chuo kikuu kwa Jina (naomba niifadhi) nasomea udaktari/MD lakini ivi juzi Kati Kuna mambo yalitokea...
  19. Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

    Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu! Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
  20. Changamoto ya mchwa kwenye nyumba

    Habari zenu wanajamvi! Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu 🤣🤣🤣). Sasa recently naona nyumba inavamiwa na mchwa wale wakubwa na wanajenga vichuguu vya kufa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…