Changamoto ya chakula maeneo ya kazi

Mafree

Member
Aug 3, 2017
79
70
Ndugu zangu Wana jamii, Leo naomba maoni yenu juu ya changamoto mnazo pitia katika huduma ya Chakula hasa mnpo kua katika maeneo yenu ya kazi.

Ni wapi, unatamani ungepata huduma ya chakula kitamu na chenye ladha nzuri ,nipate kukuhudumia?

Je, kuhusu bei ya chakula ungependekeza iwe katika bei gani?

KAMA UPO DARESALAM, AMA DODOMA. KARIBU KUTOA MAONI.

DAR .
TEGETA
MBEZI
GOBA
KARIAKOO

DODOMA.
BARABARA YA 987!
MAJENGO SOKONI

DALALI KARIBU (PM) Tuwasiliane

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom