changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. broken ages

    JamiiForums Tanzania Ni heri kupambana na changamoto za chanjo kuliko kupambana na changamoto za kuugua COVID-19

    Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao unaosemwa kwenye mitandao na baadhi ya vyombo vya habari na watu ambao ni wapotoshaji pengine kwa maksudi...
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto juu ya chanjo iliyotokea miaka ya 1950s ndio inayojitokeza sasa, ila mwishoni utafika tu

    Nianze kwa kusema kuwa wenzetu ambao ni jirani zetu hapo kenya nao walianza kwa kusema kuwa chanjo ya Corona ni hiyari na sio lazima , lakini tamko lilitoka jana kutoka serikalini ni kwamba kila Mkenya ambaye ni mtumishi wa Umma lazima apate chanjo ndani ya wiki mbili zijazo na mwisho ni tarehe...
  4. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za nchi za Afrika kwenye michezo ya Olimpiki

    Kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyomalizika hivi karibuni, kumekuwa na mambo mengi mapya ya kushangaza na kufurahisha, ikiwa ni pamoja baadhi ya nchi kupata medali kwa mara ya kwanza kwenye baadhi ya vitengo, na hata uwakilishi wa baadhi ya nchi kwenye michezo hiyo kuwa wa...
  6. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

    Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
  7. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tembelea wananchi wako wa Mji wa Kisesa wanateseka na Changamoto ya Umeme na Maji

    Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
  8. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mafanikio

    ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  11. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuongea na binti anayekua

    Damu ni nzito kuliko maji leo nimeumia sana. Kuna Kaka yangu aliachana na mkewe kitambo sana mtoto akiwa na 2 yrs, yule Mama akamuacha mtoto. Mtoto kalelewa na baba yake since then Wala bro hajaoa tena masikini sijui alipigwa tukio gani. Changamoto binti amekuwa ana 12 yrs sasa, nyumbani kwao...
  12. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana. Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo - Mrejesho: Wizara tambueni changamoto hizi

    Mrejesho - day 1 (2nd Aug): Nitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa. Tumefika kujiandikisha 08:00: wenye magonjwa mengine na wazee 50+ kwa mujibu wa waraka wa wizara. Karibu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jamii kuhusu watu wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu ni nini!Ni hitilafu ya Kidumu ambayo inaweza kumkuta mtu yoyote yule awe mtu mzima au mtoto kwa nyakati tofauti ambapo inaweza kuwa wakati wa kuzaliwa kabla na baada ya kuzaliwa Walemavu ni kundi ambalo limetengwa sana na kusahaulika katika Jamii zetu ambapo watu wengi sana tumekuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani. Pamoja na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  18. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za biashara za reja reja zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo ama na mtu hata mwenye kipato cha chini

    1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k 2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Waswahili kwenye Kiswahili na utatuzi wake

    Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
  20. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kundo Mathew atua Same Mashariki kutatua changamoto za Mawasiliano ya Simu, Data na Redio

    NAIBU WAZIRI ATUA SAME MASHARIKI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU, DATA NA REDIO Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa huduma ya mawasiliano ya simu, data na redio katika kata mbili za Vuje na Bombo...
Back
Top Bottom