changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  2. JamiiForums Tanzania Wenye betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili

    Utafiti mpya uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha kuwa wagonjwa wa moyo waliowekewa betri ya moyo wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya akili. Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka. Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kilimo kupitia BRI wasaidia kukabiliana na changamoto za dunia

    Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na mapendekezo mbalimbali, kama Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), na kuboresha ushirikiano wa...
  9. JamiiForums Tanzania NHIF: Mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri ndio changamoto

    Meneja wa mfuko wa bima ya afya ya NHIF Mkoani Tabora, Salum Adam amesema NHIF haina changamoto ya uchelewashaji wa vitambulisho isipokua kuna changamoto ya kimazingira na mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri. Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa NHIF amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45) zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. PM NIMEIFUNGA Kama una-ushuhuda Mungu amekufanyia baada ya kutumia bible code share huku usiogope., na kama una...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Wamiliki wa Shule binafsi wafanya kikao kujadiliana juu ya changamoto za Elimu

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mkutano na Wamiliki wa Shule zisizo za Serikali kwa lengo la kusikiliza na kujadiliana kwa pamoja changamoto zilizopo katika sekta hiyo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waalimu ni kundi la watumishi wanaoshangilia kila wanachoambiwa na mwanasiasa. Wakiambiwa wao ni kada maskini wanapiga makofi

    Mwalimu ni mtu mwenye dhamana yakuondoa ujinga kwa wengine lakini hana uhakika kama yeye amejiondolea ujinga. Mwalimu ni mtu yupo radhi kumchapa mwanafunzi asiyeelewa ili aelewe lakini yeye mwenyewe hana uhakika kama anaelewa anachotakiwa kukifanya kama kioo cha anaowafundiasha. Mwalimu ni mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ESS UTUMISHI

    Habarini viongozi, yeyote aliyefahamu namna ya kukabili changamoto hii katika kujisajili kwenye mfumo wa "ess utumishi" tusaidiane hapa
  17. K

    JamiiForums Tanzania Simu mpya za iphone zagundulika kuwa na changamoto kubwa

    Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kiuchumi za China hazitakuwa na madhara kwa nchi za Afrika

    Katika siku za karibuni vyombo vya habari vya ndani na nje ya China vimekuwa vikiripoti kuhusu changamoto za kiuchumi za China zinazotokana na kupungua wa tija ya uzalishaji, kupungua kwa nguvu kazi, kuyumba kwa soko la nyumba na hata ongezeko la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Changamoto...
  20. JamiiForums Tanzania Likawage Wilaya ya Kilwa (Lindi) inadaiwa kuna changamoto ya mawasiliano, watu wanapanda milimani kupata mtandao

    Katika maisha yetu ya kila siku, mawasiliano hutusaidia kujenga uhusiano kwa kuturuhusu kushiriki uzoefu wetu, na mahitaji yetu, na hutusaidia kuungana na wengine. Ni kiini cha maisha, huturuhusu kuelezea hisia, kupitisha habari na kubadilishana mawazo. Sote tunahitaji kuwasiliana. Hata hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…