KERO Barabara ya Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo) ni changamoto kwa watumiaji kutokana na ubovu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu.

Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule, Barabara hiyo haijawahi sawazishwa kwa miaka karibu miwili sasa.

Tunaomba Serikali ya Mkoa iangalie hali hii kwani ni hatari kwa maisha ya watu na pia inarudisha nyuma harakati za kukuza Uchumi.

Mvua ikinyesha hali ndio huwa inakuwa mbaya zaidi kutokana na kutopitika kwa urahisi.

Njeteni 2.jpg

Njeteni 1.jpg

Njeteni.jpg
 
kuna hii barabara ya Mpiji magoe pia hali ni tete zaidi! manispaa ya Ubungo wamelala doro, Tanroad kama hawaoni vile.

Uwajibikaji bongo bado sana.
 
Back
Top Bottom