stranger2016
New Member
- Jan 8, 2017
- 1
- 11
Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.
Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wao wanaowarubuni kwa kuwatishia kufeli.
Nimesikia kesi nyingi kwa chuo cha CBE Mwanza. Changamoto hii inaharibu ndoto kwa baadhi ya mabinti wengi wa kitanzania.
Tunaiomba TAKUKURU na vyombo vingine vya usalama vifanye uchunguzi na kutoa haki ili tupate wahitimu bora na tuokoe mabinti hawa watimize ndoto zao.