changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

    Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao. Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto 17 za Uwekezaji kwenye Ardhi na Majengo hapa Tanzania

    Zipo changamoto nyingi za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Leo ninakushirikisha baadhi ya changamoto ambazo nimeziona zinaweza kukuzuia kutoka hapo ulipo kwenda hatua nyingine ya mafanikio. MOJA. Upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi. Hii ni sababu kubwa ya wawekezaji wengi kukosa sifa za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa changamoto kwa ajira mpya kulipwa pesa za kujikimu katika Halmashauri nyingi

    Habari za muda ndugu zangu. Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
  5. JamiiForums Tanzania Leteni changamoto zenu zote mapema, CCM iko imara

    Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi yaliyoko ndani ya chama, manyangau walioko ndani ya chama, leteni hoja zenu mapema, wanachama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi unaweza kukabiliana na changamoto za kazi baada ya kuhitimu

    Safari baada ya chuo kwa wahitimu inaweza kuwa na furaha na changamoto kwa pamoja. Unapojitosa katika ulimwengu wa kitaaluma, moja ya changamoto kubwa mtaani kwa wahitimu ni kazi hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kufanya mabadiliko na kujenga mustakabali wa mafanikio. Maisha baada ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Kwema ndugu zangu!! Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania 'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utakuja lini Makonda? Unahitajika Mbeya kutatua changamoto

    Binafsi nilianza kumfahamu na kumkubali Mheshimiwa Makonda baada ya kuchukua hatua na kufanya HARAKATI za KUPAMBANA NA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA. Mpaka kesho nampenda namwamini Makonda. Katika kipindi cha Nipashe ITV asubuhi ya Leo vijana wachimba madini wilaya ya chunya wanawaomba...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatambua kuwa bila mawasiliano na China ni vigumu kufanikisha utatuzi wa changamoto zinazoikabili dunia

    Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Rais Xi Jinping na Rais Joe Biden wa China kukutana na kufanya mazungumzo mjini San Francisco nchini Marekani wachambuzi na wadau mbalimbali wa mambo ya siasa na uchumi wamekuwa wakitafsiri umuhimu wa mkutano kati ya viongozi hao wawili, na matokeo yake kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na ile falsafa ya kutengeneza faida. Zipo njia nyingi za kutengeneza kipato endelevu kwenye uwekezaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto za wateja wa kampuni ya Meridianbet Tanzania

    Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja? Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange Amshukuru Rais Samia kwa Kutatua Changamoto ya Zahanati Masaulwa

    DKT. DUGANGE AMSHUKURU RAIS KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA ZAHANATI YA MASAULWA NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt Festo Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya Zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
  16. JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  18. JamiiForums Tanzania Bajaji za Umeme zina faida gani? Changamoto zao ni zipi?

    Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme. leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe. Dereva aliniambia bajaji za umeme zina faida tu: matumizi ya umeme ndogo, uwezekano wa kuichaji nyumbani, matengenezo ya gharama ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aishukuru DAWASA kutatua changamoto ya maji Chalinze. Rais Samia atoa fedha kusambaza kwa wananchi

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze. Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…