Utakuja lini Makonda? Unahitajika Mbeya kutatua changamoto

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
237
239
Binafsi nilianza kumfahamu na kumkubali Mheshimiwa Makonda baada ya kuchukua hatua na kufanya HARAKATI za KUPAMBANA NA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA. Mpaka kesho nampenda namwamini Makonda.

Katika kipindi cha Nipashe ITV asubuhi ya Leo vijana wachimba madini wilaya ya chunya wanawaomba viongozi wa serikali na mheshimiwa Makonda kuwasaidia wananyanyasika na wawekezaji wenye Hela. Makonda aje awasaidie!

Makonda Utakuja lini Mbeya, mapokezi makubwa yanakusubiri, vijana wa bajaji, bodaboda, machinga, wakulima, wenye migogoro ya ardhi, wanayo mengi ya kukwambia uwasaidie kuwapazia sauti zao kwa mawaziri.

Lini unakuja Mbeya Makonda. Wananchi Wana Imani na chama chako, na Mbunge wao Tulia Ackson karibu Mbeya.
 
Nchi haiwezi kubadilishwa kwa kutegemea mtu mmoja mmoja , aje apite aje mwingne tena na sera zake.

Mifumo imara na katiba inayoeleweka ndio solution la matatzo yote hayo.
 
Nchi haiwezi kubadilishwa kwa kutegemea mtu mmoja mmoja , aje apite aje mwingne tena na sera zake.

Mifumo imara na katiba inayoeleweka ndio solution la matatzo yote hayo.
Mifumo imara ndiyo nini wewe? Tunamtaka Makonda
 
Back
Top Bottom