Mzee wa miaka 85 afungiwa mahubusu siku 3 bila chakula

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Msoba Mligo.

Akizungumza kwa shida baada ya Jeshi la Polisi likiongozwa na Mkuu wa Jeshi hilo wilayani Igunga, Ally Mkalipa, kuuvunja mlango wa ofisi hiyo na kumtoa nje, Mahundi alisema alikuwa amechoka sana kutokana na kutokula chakula kwa muda wa siku tatu.

Alidai kuwa Februari 18 alikuwa ametoka Kijiji cha Iyogelo, Kata ya Kining’inila, alikokuwa amefuata ng’ombe wake waliokuwa kwa ndugu yake na alipofika mtaa wa Mwamaganga maeneo ya Mwanzugi, saa tatu usiku aliamua kulala.

Alisema katika harakati za kutafuta nyumba ya kulala alikutana na mwenyekiti huyo akiwa na vijana watatu ambao walimuhoji alikotokea na anakokwenda.

Mahundi alisema, licha ya kuwajibu walimchukua na kumfikisha ofisi ya serikali ya mtaa wa Mwamaganga, ambako alifungiwa ndani ya ofisi hiyo.

Alidai kuwa Februari 19, saa nne asubuhi akiwa amefungiwa kwenye ofisi hiyo alipewa kikombe cha chai na chapati mbili na alipomwomba mwenyekiti huyo amwachie, alimpa masharti kuwa kama anataka kutolewa nje atoe kitu kidogo.

Anaeleza kuwa Februari 20, saa nne asubuhi akiwa mahabusu ya ofisi hiyo, alisikia sauti za wananchi waliokuwa wanamtaka mwenyekiti huyo amfungulie kwa kuwa ilikuwa siku tatu akiwa mahabusu.

Mahundi alidai mlango wa ofisi hiyo ulivunjwa na polisi na yeye kutolewa nje.

“Mimi nilikamatwa na mwenyekiti na kisha kufungiwa ofisini kwa muda wa siku tatu bila kutoka nje wala chakula, bali kikombe kimoja cha chai na chapati mbili, namshukuru Mkuu wa Polisi Mkalipa kwa kuwa ilikuwa nifie humo, ameniokoa,” alidai huku akibubujikwa na machozi.

Alipotakiwa kuzungumzia tuhuma hiyo, mwenyekiti huyo alikiri kumfungia mzee huyo ofisini kwa muda wa siku tatu.

Alidai kuwa hakuwa na funguo za ofisi hiyo ndiyo maana hakuweza kumfungulia haraka na kushindwa kueleza kisa cha kumkamata na kutompa chakula.
Baadhi ya wananchi wa mtaa huo, Kimwaga Juma, Issa Abihudi na Asia Clement, walidai mwenyekiti wao alikuwa na tabia ya kuwafungia ofisini wazee mpaka watoe kitu kidogo na kwamba hivi sasa hawana imani naye.

Mkuu wa Polisi Wilaya ya Igunga, Ally Mkalipa, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema.

“Sisi tulipokea taarifa kutoka kwa raia wema na tulipofika tulimkuta mzee huyo akiwa amefungiwa ofisini na tulivunja mlango na kumtoa nje,” alisema.
Jeshi la Polisi wilayani Igunga, lilimsafirisha mzee huyo kwenda nyumbani kwake
 
Duniani kuna watu makatili kama majini
 
Huyu ndio mwenyekiti miongoni mwa wale waliopita bila kupingwa. Siasa za CCM zinaliangamiza hili taifa
Wananchi muamke, bila uthubutu wenu hii hali ya kimaisha itaendelea hivi hivi na wachache wataendelea kula mema ya nchi kwa mgongo wa uzalendo.
 
Niwapongeze police ila pia huyo mwenyekiti nae atiwe ndani yeye ni nani mpaka atengeneze sero ya kiweka watu ndani tz hatujafikia hapo kwa alicho kifanya mwenyekiti kama ni kweli
 
Kwa hiyo mwenyekiti hana hatia yoyote kwa huo ujinga alioufanya?

Maana mpaka mwisho wa habari sijaona sehemu ambayo mwenyekiti amewajibishwa licha ya kukiri kumfungia huyu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom