Tarime raha sana, chai ya asubuhi ni zaidi ya chakula cha mchana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Mambo ya Tarime Hayo!

Screenshot_20200131-113711.png
 
ulafi huo. Wakurya wengi ni walafi sana wa nyama.

Natamani kujua ni kwanini Wakurya ni walafi wa chakula.
 
Huu ulaji w kushare mabakuli,katika Zama hizi za Corona virusi Kuna usalama kweli?
 
Ndugu zanguni wa kutuita walafi, ifike mahala mtambue angalau mazuri yetu. Kitu kama hikihiki kikitokea mbeya ama usukumani kinaonekana kawaida ila kwetu inakuwa nongwa. Zamani ilijulikana ni wakurya pekee ndio mabingwa wa kucharanga wenzao mapanga, leo hii ni karibu tanzania nzima. Tukio la mauaji likitokea sehemu nyingine linaonekana kawaida ila huku inakuwa habari ya zama na zama. Mtuache na ulafi wetu enyi wanaume wa dar mnaofikiri kula kidogo hata kama haujashiba ndio ustaarabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom