chakula

  1. JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii.. Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa. Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

    Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi Kwanza Kuna wale wanunulia...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Bila salamu! Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta. Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya...
  4. JamiiForums Tanzania Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

    Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na kachumbari naona kama siku kawaida, ukolezo hapo kwenye pilau nyama, sio pilau kuku au mboga nyingine...
  5. JamiiForums Tanzania Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices. Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  8. JamiiForums Tanzania Mate kuruka kwasababu ya chakula kitamu

    Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa. Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

    Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Shule ya Msingi Chanika, acheni kuwafungia darasani watoto wasiotoa mchango wa chakula

    Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wameanza kupata shida mashuleni. Iko hivi, baada ya Serikali kutoa mwongozo kwa ajili ya watoto wetu kula chakula mashuleni hali imekuwa tofauti kabisa. Watoto wanalalamika kuwa chukula wanachopewa ni kibaya, wameenda mbali na kusema wakati mwingine kinakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mgeni na chakula Mambo ya kuzingatia

    Leo tuzungumze kidogo kuhusu chakula hasa kwa wageni wanao tutembelea iwe kwa shida ama kwa raha, Kuna nyumba zingine ukizitembelea haumalizi wiki unachoka kukaa Sababu ni wenyeji wako kutokujali muda wa kula au ni kama umeshiba au lah! Hauulizwi kabisa Au wanapika chakula ambacho wewe...
  12. JamiiForums Tanzania Ukikua kiumri taste ya baadhi ya aina ya chakula inapotea ama nini?

    Nakumbuka nikiwa mdogo hadi miaka ya shuleni nilikua napenda sana wali maharake, pilau na vitu kama hivyo, ilikua wali na mimi, mimi na wali. Cha kushangaza siku hizi ugali ndio umekua kama default food yangu, ugali nyama, samaki, dagaa ama mboga za majani, ndizi choma nyama, samaki. Maharage...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa na wanaharakati lazima watafute stove ya kujipikia chakula

    Sasa ni mambo gani yanaendelea Mwanza? Wanaharakati wataendelea kutafuta ukumbi wa mkutano au wataamua kuondoka Mwanza? Mimi nadhani wanahitaji kuwa na subira na atatokea mtu atawakaribisha mahali ambapo wanaweza kufanya mkutano. Siyo mkutano wa siku moja tu. Wanahitaji ukumbi wa kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Tukague vyakula wanavyolishwa watoto shuleni, hali niliyoiona ni mbaya sana!

    Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana. Kwa mantiki hiyo kila siku...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

    Twende haraka kwenye mada. Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni katika shule za kata ni watoto wa Serikali wawapo mashuleni. Viongozi wengi wa juu waliopo sasa ni...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki chakula cha Jioni (Africa Food Prize - Gala Dinner) - Ikulu

    https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni waliohudhuria mkutano wa AGRF leo tarehe 07 Septemba, 2023 katika viwannja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  20. JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…