chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sijapata jibu, kwanini wana siasa wanao ahidi kadamnasi kuiua CHADEMA wao ndio hufa kisiasa?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

    Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno. Hebu jionee mwenyewe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heko CHADEMA kushinda kishawishi kilichomshinda Yuda Iskariote

    Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
  4. Mbatizaji Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

    KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama anayosema Gambo yanatoka moyoni, basi anapaswa kuonesha njia na kuwaomba msamaha CHADEMA kwa aliyowafanyia

    Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake. Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Operesheni Haki ya CHADEMA haivuni wanachama toka vyama vingine walionyimwa haki?

    Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine. Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi? Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa kina Mdee Bungeni kikwazo cha Rais kuonana na CHADEMA?

    Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa Nusrat Hanje jana jijini Mwanza kama mbunge wa chadema hii inaashiria mama anawatambua hao covid-19...
  9. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kombati aliyovaa Sugu mahakamani kwenye hukumu ya Mdude imetengenezwa na Sean John. Je, P Didy anaijua Chadema?

    Haya mambo wakati mwingine yanashangaza sana ! ngoja tuilete kwenu muithaminishe
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanazidua mashina na kuweka mawe ya msingi, lini watashika dola?

    Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa! Kinampango wa kukamata dola? Kwa staili hii watakamata dola? Kama watakamata dola itakuwa lini? Maana kama baada ya miaka ishirini ndio wanaanza ujenzi...
  12. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

    Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya, uhujumu uchumi nk Wafuasi wa CHADEMA wamewasili hapa tangu saa 2...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

    CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao. Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuelimisha kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya

    Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi. Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni porojo na siasa za matukio. Fanyeni siasa za kisayansi

  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

    CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Inteligensia ya Polisi kutoana viashiria vya ualifu kwenye Mikutano ya Chadema kinanifanya niamini nchi ipo salama

    Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo. Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
Back
Top Bottom