chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

    Leo Babati Mjini. Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta Chanzo: BAVICHA TAIFA Asanteni Babati Tukutane 3010 kujipongeza...
  2. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu amjibu Mama Samia Suluhu kuhusu uhakika wa CCM kuunda Serikali

    Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema.. Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha

    Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba nafasi hiyo kubwa kwenye Mikoa ya Manyara na Arusha. Kama kawaida mimi mtumishi wako nitakuletea...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa mgombea ubunge wa CHADEMA kata ya Selela Jimbo la Monduli

    Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli . Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi kwa kutumia fikra huru . Hizi ni picha za Mkutano wa mgombea ubunge wa Chadema kata ya Selela Jimbo...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

    Natoa ushauri kwa CHADEMA Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe. Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia. Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
  8. Anonymous

    JamiiForums Tanzania GE2020 Patrobas Katambi amtaka Salome Makamba kuwaomba radhi wanawake kwa uzushi aliosambaza juu yake

    SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura nyingine baada ya hii leo, Katambi kumtaka mpinzani wake huyo ajitokeze hadharani aombe radhi kabla...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

    Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi. Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi. Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kuna haja ya kufafanua sera ya majimbo inapotoshwa

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya wengi, Tundu Lissu aandike kitabu kuhusu harakati na changamoto anazopitia katika Uchaguzi huu

    Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu. Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

    Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora . Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ======== Wananchi wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

    Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya...
  18. Patrick Girigo

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mgombea urais wa CHADEMA

    Naomba kuuliza maswali mawili kuhusu ILANI ya uchaguzi Mkuu ya CHADEMA 2020 kuhusu sera yao ya MAJIMBO au Dby D (1) CHADEMA wanainadi sera yao ya Majimbo lakini kuna MIKOA/HALMASHAURI ambazo zina makusanyo yake yapo chini, wanashindwa hadi kuwalipa Madiwani wao, Je,serikali yake ya itawezaje...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa CHADEMA 'Tuwamwage mafisadi' ulikuwa hamasa kwa vijana

    Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini. Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu. Kwa maoni...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

    Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi . Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
Back
Top Bottom