chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

    Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J...
  2. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tatizo lenu CHADEMA ni kuwa na mgombea Urais bila Wabunge

    Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa yale aliyokwishafanya. Kwa Lissu kazi ni kubwa zaidi maana uzuri wa ahadi hautoshi. Wanasiasa wote...
  3. Kakke

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA hatutorudi nyuma kusimamia haki juu ya ukandamizaji na vizingiti

    Wanachama wa CHADEMA katu hatutovunjika moto na kurudi nyuma ili kupigania haki yetu . Kitendo cha kunyiwa uhuru na kufanywa mkombaniaji uraisi wetu Tundu Lissu jana kuzuiwa na jeshi la polisi kwenye msafara wake halikutufurahisha. Mh Tundu Lissu ni raia huru ndani ya nchi yake kama raia...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali Huyu hapa
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Makada 5 wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kuingilia mifumo ya mawasiliano ya kibenki ili kuiba fedha kwa ajili ya Uchaguzi

    Makada watano CHADEMA mbaroni kwa tuhuma za makosa mtandaoni MAKADA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuingilia mifumo ya mawasiliano ya kibenki. Vilevile, wanatuhumiwa kuendesha mafunzo batili yanayolenga...
  6. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wahamasishe vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Uchaguzi wa mwaka huu umekosa mvuto tofauti na uchaguzi wa mwaka 2015 ukipita mitaani na vijiwe vya kahawa hapa Dar unaweza kuzani hakuna uchaguzi watu wengi wanapiga stori za Simba na Yanga tu. Vijana wapo wengi kuliko wazee na wamama wa nyumbani vijana hawa ndio mitaji yenu CHADEMA vijana...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi, CHADEMA wanahusikaje?

    Ameandika Malisa GJ kuhusu Mauaji ya Mlelwa wa CCM Njombe Kwanza kabisa nalaani mauaji ya Bwana Emmanuel Mlelwa kada wa CCM anayedaiwa kuuawa huko Njombe. Either mauaji haya yametokana na sababu za kisiasa au zisizo za kisiasa tunapaswa kukemea kwa nguvu zote. Hakuna sababu yoyote inayo-justify...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

    Nimetafakari. Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter. Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Toka CHADEMA ianzishwe haijawahi kuwa na ushawishi Zanzibar

    Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inafuata mkondo wa Muslim Brotherhood? Je watarudia makosa yao?

    Kwa watu wanaonijua vyema, nina karama na uwezo wa kusoma siasa za nchi fulani na kutabiri mabadiliko ambayo wengi wanakuwa bado hawajayaona. Haya si majisifu, nasema tu ukweli. Nilifanya hivyo kwa Obama kabla hajawa maarufu sana, nilifanya hivyo kwa Uhuru Kenyatta wakati huo anashika nafasi za...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

    Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

    Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kutobandika picha za Tundu Lissu ni kosa la kiufundi

    Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi. Niseme kwamba kampeni hizi za mwaka huu ni za kipekee. Ziko tofauti sana...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  17. zitto junior

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimefurahi wimbo huu kuwa rasmi wa kampeni CHADEMA

    Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama. Source: Yericko Nyerere Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

    Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar. Wote mnakaribishwa. Maendeleo hayana vyama!
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

    Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu. Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
Back
Top Bottom