Najiuliza sijapata jibu, kwanini wana siasa wanao ahidi kadamnasi kuiua CHADEMA wao ndio hufa kisiasa?

Tumbiliwaulaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
280
435
images.jpg
download (3).jpg
images.jpg
download (3).jpg

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi, iliyoongozwa na katibu mkuu wa CCM wakati ule Abdulhaman Kinana, na katibu mwenezi wake Nape Nnauye mwaka 2015,Nyingine ni ile ya kuhamasisha mabadiriko M4C iliyofanywa na CHADEMA, ambayo ilitikisa nchi hadi slogan hiyo kufikia kutumiwa na CCM katika uchaguzi wa 2015, ili kuzima cheche za matokeo chanya ya operation hiyo.

Lakini cha kushangaza ni kuwa panapofanyika operation hizi, hakuna kusudi la moja kwa moja la chama kutaka kukiuwa chama kingine hata kama huwa ni dhamiri zilizo ndani ya wanachama wa vyama hivi viwili.

CHA AJABU: kila aliye wahi kujigamba hadharani kuwa yeye ataifutilia mbali CHADEMA mwisho wake kisiasa huwa mbaya! labda mnisaidie wenzangu kunani CHADEMA?

Mtu mmoja wa hivi karibuni kabisa ni Yule iliyejisifu kuiua CHADEMA huko Hai Kilimanjaro sasa yu almahututi kisiasa shida ni nini?
Kwa hiyo kusema CHADEMA ni mpango wa Mungu ni kweli?

download (5).jpg
 
Mkuu bila shaka umejiunga Chadema leo, haya subiri utumiwe bando lako PM kwa kujitahidi kuandika pumba.
 
Ujinga walionao CCM popote walipo hapa duniani Ni kudhani watu wote wanafanana kimawazo,hawajui Kuna kitu kinaitwa uhuru wa kuchagua.

Yaani kwa kifupi Ni kwamba sio kila mtu ataipenda CCM au Chadema au ACT ndo maana Kuna watu wataipenda Simba na wengine Yanga,wengine Azam.

Sasa hawa maccm yanataka kumlazimisha kila mtz ayapende
 
CDM iko ndani ya mioyo ya watu, cdm is no diffrent from an idea, you can kill the idea carrier but cant kill the idea itself, na ndio unaona katika ugaidi licha ya kuuawa kwa osama bin laden, bado ugaidi upo, why, sababu ugaidi haukuwa osama, osama alibeba idea ya ugaidi, na hio ugaidi kawapa wengine , na wengine wakawapa wengine--------and on and on------------so licha ya yale matesho kina mhe mbowe na mhe lissu na wengine wamepitia, bado cdm haiwezi kufa, na ndio inapiga hatua mbali kabisa
 
View attachment 1822889View attachment 1822890View attachment 1822889View attachment 1822890
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi, iliyoongozwa na katibu mkuu wa CCM wakati ule Abdulhaman Kinana, na katibu mwenezi wake Nape Nnauye mwaka 2015,Nyingine ni ile ya kuhamasisha mabadiriko M4C iliyofanywa na CHADEMA, ambayo ilitikisa nchi hadi slogan hiyo kufikia kutumiwa na CCM katika uchaguzi wa 2015, ili kuzima cheche za matokeo chanya ya operation hiyo.

Lakini cha kushangaza ni kuwa panapofanyika operation hizi, hakuna kusudi la moja kwa moja la chama kutaka kukiuwa chama kingine hata kama huwa ni dhamiri zilizo ndani ya wanachama wa vyama hivi viwili.

CHA AJABU: kila aliye wahi kujigamba hadharani kuwa yeye ataifutilia mbali CHADEMA mwisho wake kisiasa huwa mbaya! labda mnisaidie wenzangu kunani CHADEMA?

Mtu mmoja wa hivi karibuni kabisa ni Yule iliyejisifu kuiua CHADEMA huko Hai Kilimanjaro sasa yu almahututi kisiasa shida ni nini?
Kwa hiyo kusema CHADEMA ni mpango wa Mungu ni kweli?

View attachment 1822905
Kwa kuwa Mungu huwa hachezewi.

Ndiyo maana karma huwapata wao wenye nia ovu ya kuua upinzani nchini, ambapo upo kwa mujibu wa sheria zetu za nchi na badala yake Mungu huwatwaa wao kwanza😂
 
View attachment 1822889View attachment 1822890View attachment 1822889View attachment 1822890
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi, iliyoongozwa na katibu mkuu wa CCM wakati ule Abdulhaman Kinana, na katibu mwenezi wake Nape Nnauye mwaka 2015,Nyingine ni ile ya kuhamasisha mabadiriko M4C iliyofanywa na CHADEMA, ambayo ilitikisa nchi hadi slogan hiyo kufikia kutumiwa na CCM katika uchaguzi wa 2015, ili kuzima cheche za matokeo chanya ya operation hiyo.

Lakini cha kushangaza ni kuwa panapofanyika operation hizi, hakuna kusudi la moja kwa moja la chama kutaka kukiuwa chama kingine hata kama huwa ni dhamiri zilizo ndani ya wanachama wa vyama hivi viwili.

CHA AJABU: kila aliye wahi kujigamba hadharani kuwa yeye ataifutilia mbali CHADEMA mwisho wake kisiasa huwa mbaya! labda mnisaidie wenzangu kunani CHADEMA?

Mtu mmoja wa hivi karibuni kabisa ni Yule iliyejisifu kuiua CHADEMA huko Hai Kilimanjaro sasa yu almahututi kisiasa shida ni nini?
Kwa hiyo kusema CHADEMA ni mpango wa Mungu ni kweli?

View attachment 1822905
Magufuli for change😂😂😂😂🤣🤣
 
Wanakufa wao kwa sababu ni wachawi!
 
Binadamu tuna utashi

Sasa wajinga hudhani watu wote wanafikiri na kupenda sawasawa

Haiwezekani

Upinzani ulikuwepo

Upinzani upo

Upinzani utadumu hata siku ya mwisho wa Dunia

Watakufa, na upinzani upooooooo
 
View attachment 1822889View attachment 1822890View attachment 1822889View attachment 1822890
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi, iliyoongozwa na katibu mkuu wa CCM wakati ule Abdulhaman Kinana, na katibu mwenezi wake Nape Nnauye mwaka 2015,Nyingine ni ile ya kuhamasisha mabadiriko M4C iliyofanywa na CHADEMA, ambayo ilitikisa nchi hadi slogan hiyo kufikia kutumiwa na CCM katika uchaguzi wa 2015, ili kuzima cheche za matokeo chanya ya operation hiyo.

Lakini cha kushangaza ni kuwa panapofanyika operation hizi, hakuna kusudi la moja kwa moja la chama kutaka kukiuwa chama kingine hata kama huwa ni dhamiri zilizo ndani ya wanachama wa vyama hivi viwili.

CHA AJABU: kila aliye wahi kujigamba hadharani kuwa yeye ataifutilia mbali CHADEMA mwisho wake kisiasa huwa mbaya! labda mnisaidie wenzangu kunani CHADEMA?

Mtu mmoja wa hivi karibuni kabisa ni Yule iliyejisifu kuiua CHADEMA huko Hai Kilimanjaro sasa yu almahututi kisiasa shida ni nini?
Kwa hiyo kusema CHADEMA ni mpango wa Mungu ni kweli?

View attachment 1822905
Picha mbona unazibania , zingine ziko wapi bhana ?
 
Ukweli ambao huwa labda hawajui wao hudhani cdm Ni Mbowe au msigwa! La hasha... Cdm Ni imani iliyopo kwa baadhi ya watanzania. Ipo mioyoni mwao
Umesema kweli, hivyo kutaka kuiua Cdm ni sawa na kutaka kuwaua Watanzania, huwezi fanikiwa kamwe
 
Back
Top Bottom