Uchaguzi ni takwimu, mikakati na mipango ambayo inaonekana wazi kwa macho na isiyoonekana. Kwa inayoonekana ni wazi kuwa....
Pamoja na CCM kuwa na kila kitu kinachotakiwa kwenye kampeni, magari, viwanja, pesa you name it, lkn haina tofauti kubwa na Chadema inayotumia resources chache ilizonazo...