chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kinuju

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe: Uchaguzi Mkuu wa 2020 CHADEMA hatukuwa na wagombea sahihi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumwombee Mdude Nyagali, kesi yake inashabihiana na ya Yanga Omari Yanga ambaye amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Rufaa

    Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021. Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama...
  3. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnayo nafasi ya kusimama tena kabla ya 2025, ila zingatieni haya...

    Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015. 1. Achaneni na Magufuli Ukifuatilia hotuba zako nyingi nikama Magufuli Yuko Madarakani. Agenda za mikutano yao imebeba...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayomkuta Ole Sabaya, ni dhahiri akimalizana salama na TAKUKURU atachukua kadi na kujiunga CHADEMA!

    Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema. Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema. Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ajabu sana CHADEMA

    Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa. Mambo ya ajabu sana. Kwa...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwenu CHADEMA Digital

    Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima -- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Digital upande wa pili wameng’ang’ania ngazi

  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza. Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai )...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

    Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki. Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk. Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

    Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali. Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka. Hapo hujatuingiza...
  11. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

    Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi. Hivi...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ahimiza ujenzi wa ofisi za CHADEMA nchi nzima

    Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima. Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na wananchi wenye mapenzi mema na nchi yao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda haraka sana, Mbowe kama anaurudia ufalme wake wa anga

    Juzi juzi kila mtu alishuhudia Mwenyekiti wa Chadema akiwa ameshuswa kutoka angani na muda wake mwingi alikuwa akiumalizia Segerea akitumia ndoo kwa matumizi ya msingi. Mfalme huyu wa anga ambaye alikuwa na uwezo wa kubadirisha gia angani hata malaika walikuwa wanashangaa. Wote tulishuudia...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

    Shabbati Shalom from Jerusalem, Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Naomba makada wa Chadema tupeni mwanga juu ya habari ya mzee Halimoja ambaye ni kada wa Chadema. ======= Na Mzee Yusuf Halimoja - Gazeti la Mtanzania KAMA tujuavyo, baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Watanzania walikuwa huru kuanzisha vyama vya siasa. Kati ya...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, CHADEMA wako majimboni kwa mikakati

    Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, Chadema wako majimboni kwa mikakati madhubuti kidigitali kuipanda Imani...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza CCM na Chadema tunaweza kusimamisha mgombea mmoja 2025

    Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa. CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa...
Back
Top Bottom