chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa. Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wataahirisha maandamano kufuatia kifo cha Edward Lowassa?

    Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mrema: Lowassa aliimarisha CHADEMA kisiasa

    "Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza kusaidia mageuzi ya nchi hii mwaka 2015 kwa mara ya kwanza majiji yote makubwa yakaongozwa na Chadema"...
  4. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Chipukizi CCM kutajwa kwa mara ya kwanza Jumanne 13, 2024

    Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 13.02.2024 majira ya saa tatu asubuhi mbele ya Jaji Angelo Rumisha. Mwanaharakati huyo na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi mgawanyo wa ruzuku ya CHADEMA 2.72 Billioni uliendaje?

    Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9. CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili. Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA yasogezwa mbele

    Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema, "Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024" CHADEMA imesema mabadiliko hayo yamekuja baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela kuwaeleza kuwa Uwanja wa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili. Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali la siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara hapo jana aliitetemesha Mbeya kwelikweli,alilisimamisha jiji na kuteka mioyo ya wananchi , shughuli zote zilisimama na kubaki na shughuli moja tu ya kutega masikio kwa Mwamba...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  12. Bromensa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Salaam, Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015. Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini. Watu wengi walikuwa na...
  13. NecZec

    JamiiForums Tanzania Idara za CHADEMA zimekufa, chama kipo hoi

    CHADEMA ya sasa inazidi kuwa goigoi japo mpira uko upande wao ila gori hawalioni wafunge gori, iwe makusudi au kwa bahati mbaya. Kazi anazofanya mwenezi wa mbogamboga ndio kazi ilitakiwa kufanywa na cdm tangu waruhusiwe kufanya mikutano ila cha ajabu walizuga tu wakarudi mijni kimyakimya. Kero...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Ndio maana hata maandamano yao yalidorola. Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata. Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea. Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

    Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

    Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
  17. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepokea ruzuku inayotakana na uchaguzi au uchafuzi?

  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri wa Magazeti ya Leo wametoa Taarifa ya Ruzuku ya CHADEMA kwa Kuwasuta na Kuwashushia?

    Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa. Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenikera sana.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
Back
Top Bottom