Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,740
218,328
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .

Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .

Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .

Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
 
Kitambo makamu wa Rais Samia Hassan alikiri kuwa:

Katika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.

Ni matumaini yetu makubwa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, mawasilisho haya ya CHADEMA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge atayafanyia kazi kubadilisha miswada hii. Kwani wasilisho la CHADEMA linakwenda sawia na zile 4R , sheria za haki na katiba mpya inayokubalika kuwa ni ya usawa kwa wote bila kujali vyama.

Toka Maktaba :

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=gb3MPZNXdt4
Video toka maktaba, Mh. makamu wa Rais na mwanachama wa CCM Dr. Samia Hassan akionesha kuwakubali wapinzani wenye hoja.
 
Mkija kushtuka tayari CCM imetangazwa mshindi kupitia sanduku la kura
Ccm haina uwezo wa kutangazwa washindi wa kura halali, mnaweza kutangaza washindi kutokana na mfumo mbovu wa uchaguzi kutokana na katiba hii, lakini sio kwa uchaguzi halali. Hilo haliwezekani na halitakaa liwezekane tena. Ukiona hujuma zote mlizowafanyia cdm na Bado cdm haiwapi Raha, basi mjue siku zenu zilishapita na mko madarakani kwa shuruti.
 
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Naunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.

Kwa vile maji yako ya aina nyingi, yako maji yaliyotulia kama maji ya mtungi, yapo maji tiririka, yanapita yanakwenda, yapo maji ya uzima, yapo maji ya kuoga na kuosha, yapo maji ya ku flashia, yapo maji ya mvua inanyesha, yanazama etc etc,

CCM ni maji ya mezani, maji ya kunywa, maji ya uzima, ndio maana CCM wako mezani, karamuni wanajilia na kushushia na maji, huku nchi inasonga.

Jee Chadema ni maji ya kwenye kundi gani?, maji ya mezani wenyewe wapo!
P
 
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .

Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .

Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .

Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Ila katika watu wanapenda kujipa nguvu wasizonazo, nyie hamkosi.

Hapo mmeshapigwa sana kisiasa na Mh. Makonda mmebaki kulia lia then ndiyo CCM itishike na ninyi? Bahati mbaya sana hakuna chama mpaka sasa Cha upinzani ambacho ni tishio Kwa CCM, while the fact is wananchi nao wamechoka na CCM kwakua Kuna baadhi ya watendaji ndani ya serikali ambao wanaichafua CCM mbele ya commoners. Shida ya CCM ni katika serikali iliyoiunda ambayo imerithi utendaji kazi wa mazoea. CCM kama chama no chama ambacho kimejipambanua kuwa Cha watanzania wote pasipo ubaguzi, japo Kuna wachache sana wanatamani kukimiliki lakini wameshindwa
 
Kumbe maji ya mezani yanapatikana bila kutiririka! Chanzo cha maji yaliyotulia ni kutulia? Chuki huondoa uwezo wa kufikiri.
 
Nonsense threads, ccm with his muscles haiwezi kuhisi chochote kwa chadema, kwani ina kila uwezo na pia inachapa kazi za kuonekana, Makonda shughulika na watu wa chini kwani ndiyo wapigakura, na ndiyo wanaoonewa mno!, na ndiyo 85% ya watanzania
Sikiliza na tatua kero zao papo kwa papo, kwa wanaolalama hawana utambuzi ya kuwa unawarahisishio wao katika chaguzi.
 
Kwani tume Huru tayari??
Kuna vya kuiga na ambavyo si vya kuiga, we can't copy by 100% from others, tunaweza kutengeneza katiba huru kwa mfumo wetu vile tunaona unafaa, kwa mazingira yetu sisi kama watanzania.
Tunajifunza Kenya, Malawi, Zambia, msumbiji, hatuoni cha mno au cha zaidi cha kupindukia tukasema katiba mpya ya mfumo fulani ni lazima, katika nchi hizo zote hakuna cha ku inspire yeyote yule hata awe mjinga kiasi gani,
#Tujifunze
#Tulia_ccm_acha_kujisumbua.
 
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .

Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .

Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .

Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Samia pia alikwisha ingia alihudhuria mkutano mkuu wa bawacha,amemkaribisha Mbowe ikulu,amechangia 150mil kanisa la chadema ameruhusu mikutano ya kumshambulia usiseme katiba kipindi cha magufuli ilikuwa kimya mkatii bila shuruti,amewachia muandamane mfumo gani tena ambao hajaingia na tume pia amewaachia muiteue nyinyi chadema!
 
Naunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.

Kwa vile maji yako ya aina nyingi, yako maji yaliyotulia kama maji ya mtungi, yapo maji tiririka, yanapita yanakwenda, yapo maji ya uzima, yapo maji ya kuoga na kuosha, yapo maji ya ku flashia, yapo maji ya mvua inanyesha, yanazama etc etc,

CCM ni maji ya mezani, maji ya kunywa, maji ya uzima, ndio maana CCM wako mezani, karamuni wanajilia na kushushia na maji, huku nchi inasonga.

Jee Chadema ni maji ya kwenye kundi gani?, maji ya mezani wenyewe wapo!
P
Umekurupuka
 
Nonsense threads, ccm with his muscles haiwezi kuhisi chochote kwa chadema, kwani ina kila uwezo na pia inachapa kazi za kuonekana, Makonda shughulika na watu wa chini kwani ndiyo wapigakura, na ndiyo wanaoonewa mno!, na ndiyo 85% ya watanzania
Sikiliza na tatua kero zao papo kwa papo, kwa wanaolalama hawana utambuzi ya kuwa unawarahisishio wao katika chaguzi.
kila siku siyo jumapili
 
Ila katika watu wanapenda kujipa nguvu wasizonazo, nyie hamkosi.

Hapo mmeshapigwa sana kisiasa na Mh. Makonda mmebaki kulia lia then ndiyo CCM itishike na ninyi? Bahati mbaya sana hakuna chama mpaka sasa Cha upinzani ambacho ni tishio Kwa CCM, while the fact is wananchi nao wamechoka na CCM kwakua Kuna baadhi ya watendaji ndani ya serikali ambao wanaichafua CCM mbele ya commoners. Shida ya CCM ni katika serikali iliyoiunda ambayo imerithi utendaji kazi wa mazoea. CCM kama chama no chama ambacho kimejipambanua kuwa Cha watanzania wote pasipo ubaguzi, japo Kuna wachache sana wanatamani kukimiliki lakini wameshindwa
Usichokijua ni hiki , CCM ina wenyewe
 
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .

Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .

Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .

Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom