Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,174
- 11,498
Kawaida chama kikipewa ruzuku ambayo ni hela ya umma, chama kinatakiwa kitangaze katika gazeti la Serikali kuwa kimepokea ruzuku ndani ya siku 9.
CHADEMA tangu kipewe kiasi hicho cha fedha ya umma hakijawahi kutoa taarifa kwa umma mpaka sasa miezi miwili.
Hii ilipelekea Bwana Abdullahaman Kinana kuhoji "wenzetu vipi mbona kimya? Mbona hamtangazi mmepewa hela ya umma mnagonga kimyakimya?"
Bila shaka jamaa Bwana MBOWE zote kaziweka kibindoni yuko anagonga mdogomdogo na maswaiba wake wa karibu wa mkoa huleee! Hamaa kweli siasa ni mradi wa kupiga hela ndefu bila jasho.
Haiseee tuanzishe vyama Bwasheee!