chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

    "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata. Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

    Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa...
  4. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

    Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

    Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote 1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe 2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front 3. Tuliambiwa maandamano ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mwenezi wasiposoma Mwenyekiti wao anataka na kuwaza nini wataishia kuijadili CHADEMA badala ya kusukuma agenda za CCM

    Tumeona namna viongozi wa CCM waivyotofautiana kwenye majukwaa kuhusu maandamano. Finally Chadema wamefanikiwa lengo lao na hivyo yawezekana kabisa kamati Kuu ya chadema ina mikakati mingi isiyo wazi katika kutekeleza siasa na viongozi wake wanasomana. Ukija CCM utaona Mkuu wa Mkoa,, Katibu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania The Flop of Tanzania's Chadema Party Public Demonstrations: A Detailed Assessment of the Political Landscape

    The Flop of Tanzania's Chadema Party Public Demonstrations: A Detailed Assessment of the Political Landscape Mmusi Mosimane Nthuli Today January 24th 2024, a pivotal political episode unfolded in Tanzania when Chadema, a significant opposition party, staged public demonstrations. Intended as a...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu maandamano ya amani ya Chadema, je Rais Samia ameshawachoka wahafidhina wa CCM wasiotaka mabadiliko nchini?

    Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani! Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila adai Wanajeshi hawajafanya Usafi kwasababu ya Maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Chalamila amesema vyombo hivyo...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Joti anayapinga maandamano ya CHADEMA?

    Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo. Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na kujibu kwa maneno yanayoonekana kuwa ni kejeli kwa waandamanaji. Baada ya kuonyesha kejeli, Joti...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe...
  12. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

    "Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya." Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

    Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  16. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi

    Wakuu Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

    Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa... "Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona...
  18. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii...
  19. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

    Wakuu, Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari kufanya chochote kwaajili ya chama chake hata kama kinaathiri watu wengine vibaya. Ni kama wameziba...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
Back
Top Bottom