CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,303
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?

Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu, Mbowe, Mnyika na baadhi ya makada wengine waliowahi kuwa wabunge tayari ni kama wameshajipitisha kugombea ubunge bila kujali katiba ya chama chao inavyotaka. Hata kwenye urais tayari Lissu kashapitishwa nje ya utaratibu wa katiba yao. Kama hawawezi kuwa na heshima kwa katiba yao hawataweza kuisheshimu katiba ya nchi. Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kuwafunulia watanzania jinsi hiki chama kilivyojaa mbwa mwitu walijivika ukondoo kwa nje. Watanzania hawawezi kuruhusu watu wasioiheshimu katiba yao wenyewe kuingia ikulu.

Huku CCM hadi muda huu hakuna mbunge mwenye uthubutu wa kujinadi kuwa lazima atagombea tena kwenye jimbo lake 2025 kwa sababu wanajua kazi ya wajumbe kwenye mchakato. Michakato ya majimboni huwa inawatoa jasho sio kitoto. Sisi tunafurahia kwasababu demokrasia ndo inavyotaka. CCM ilishaamua kufuata katiba yake inavyotaka na sio kujiamulia kama ilivyo CHADEMA. Imeshathibitishwa kuwa CCM ndo inaweza kuongoza nchi hii. Hata wapinzani wanajua bila CCM imara hata wao watayumba. CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wafuasi wa chama cha Mbowe.
 
Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?
Hizi harakati za kumchangia mama Samia hela ya kuchukulia fomu ya kugombea urais, je, ndiyo kusema hakuna wanachama wengine wa ccm wanaotamani kgombea urais?

Kumbuka hata Kabudi na Lukuvi aliwatoa uwaziri na Ndugai akamtoa uspika kwa kile alichodai ni 2025 fever
 
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?

Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu, Mbowe, Mnyika na baadhi ya makada wengine waliowahi kuwa wabunge tayari ni kama wameshajipitisha kugombea ubunge bila kujali katiba ya chama chao inavyotaka. Hata kwenye urais tayari Lissu kashapitishwa nje ya utaratibu wa katiba yao. Kama hawawezi kuwa na heshima kwa katiba yao hawataweza kuisheshimu katiba ya nchi. Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kuwafunulia watanzania jinsi hiki chama kilivyojaa mbwa mwitu walijivika ukondoo kwa nje. Watanzania hawawezi kuruhusu watu wasioiheshimu katiba yao wenyewe kuingia ikulu.

Huku CCM hadi muda huu hakuna mbunge mwenye uthubutu wa kujinadi kuwa lazima atagombea tena kwenye jimbo lake 2025 kwa sababu wanajua kazi ya wajumbe kwenye mchakato. Michakato ya majimboni huwa inawatoa jasho sio kitoto. Sisi tunafurahia kwasababu demokrasia ndo inavyotaka. CCM ilishaamua kufuata katiba yake inavyotaka na sio kujiamulia kama ilivyo CHADEMA. Imeshathibitishwa kuwa CCM ndo inaweza kuongoza nchi hii. Hata wapinzani wanajua bila CCM imara hata wao watayumba. CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wafuasi wa chama cha Mbowe.
Relax mkuu, pigania serikali ya chama chako wawapatie umeme watanzania, maji Safi na salama (cholera)ni gonjwa la kujitakia, malaria bado imetamalaki, na waambie ndugu zako kuwa ipo siku watakuja kuwajibika kwa wizi mkubwa wa fedha zilizoletwa na serikali ya Japan kuja kuifanya Tanzania iwe malaria free country (Cabo Verde)wamechajikomboa na malaria, na waambie kuwa waugulie hapa hapa Tanzania na wafie hapa na sio Millpark
 
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?

Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu, Mbowe, Mnyika na baadhi ya makada wengine waliowahi kuwa wabunge tayari ni kama wameshajipitisha kugombea ubunge bila kujali katiba ya chama chao inavyotaka. Hata kwenye urais tayari Lissu kashapitishwa nje ya utaratibu wa katiba yao. Kama hawawezi kuwa na heshima kwa katiba yao hawataweza kuisheshimu katiba ya nchi. Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kuwafunulia watanzania jinsi hiki chama kilivyojaa mbwa mwitu walijivika ukondoo kwa nje. Watanzania hawawezi kuruhusu watu wasioiheshimu katiba yao wenyewe kuingia ikulu.

Huku CCM hadi muda huu hakuna mbunge mwenye uthubutu wa kujinadi kuwa lazima atagombea tena kwenye jimbo lake 2025 kwa sababu wanajua kazi ya wajumbe kwenye mchakato. Michakato ya majimboni huwa inawatoa jasho sio kitoto. Sisi tunafurahia kwasababu demokrasia ndo inavyotaka. CCM ilishaamua kufuata katiba yake inavyotaka na sio kujiamulia kama ilivyo CHADEMA. Imeshathibitishwa kuwa CCM ndo inaweza kuongoza nchi hii. Hata wapinzani wanajua bila CCM imara hata wao watayumba. CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wafuasi wa chama cha Mbowe.
Mtu kuweka Nia ya kugombea ndio kashajipitisha kugombea? Huko ccm huwa wanapita kwa demokrasia au kamati kuu huwapitisha? Yaani mnalazimisha muonekana mna demokrasia wakati tunajua ni uchafu mtupu. Au umesahau wale wagombea waliotoka upinzani kwenda kuunga juhudi walivyokuwa wanapitishwa?
 
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?

Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu, Mbowe, Mnyika na baadhi ya makada wengine waliowahi kuwa wabunge tayari ni kama wameshajipitisha kugombea ubunge bila kujali katiba ya chama chao inavyotaka. Hata kwenye urais tayari Lissu kashapitishwa nje ya utaratibu wa katiba yao. Kama hawawezi kuwa na heshima kwa katiba yao hawataweza kuisheshimu katiba ya nchi. Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kuwafunulia watanzania jinsi hiki chama kilivyojaa mbwa mwitu walijivika ukondoo kwa nje. Watanzania hawawezi kuruhusu watu wasioiheshimu katiba yao wenyewe kuingia ikulu.

Huku CCM hadi muda huu hakuna mbunge mwenye uthubutu wa kujinadi kuwa lazima atagombea tena kwenye jimbo lake 2025 kwa sababu wanajua kazi ya wajumbe kwenye mchakato. Michakato ya majimboni huwa inawatoa jasho sio kitoto. Sisi tunafurahia kwasababu demokrasia ndo inavyotaka. CCM ilishaamua kufuata katiba yake inavyotaka na sio kujiamulia kama ilivyo CHADEMA. Imeshathibitishwa kuwa CCM ndo inaweza kuongoza nchi hii. Hata wapinzani wanajua bila CCM imara hata wao watayumba. CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wafuasi wa chama cha Mbowe.
Kamuulize Kibajaji, Msukuma na wengineo kama wanao mpango wa kutogombea tena.

Watu mkikosa hoja mnaokoteleza viroja. Kusudio la kugombea kwa Sugu na Lema kumemzuia nani mwingine kutochukuwa fomu ktk majimbo yao? Hiyo ndiyo demokrasia kama hujui.

Hadi Magufuli anagombea na kuwa Rais alikuwa mbunge kwa miaka 20, hadi leo yule mzee Mkuchika CCM bado ni mbunge. Je, ndiyo kusema hakuna vijana?. Wasira na Chenge nao hawajakata tamaa. Salma Kikwe, Ridhiwani kwann husiwaseme. Familia ya Mwinyi karibu yote ni Wabunge kule Zanzibar. Njoo Chipukizi Sasa, CCM inajitayarisha kuwa chama cha kifalme.
 
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba wao ndo wenye hatimiliki za ubunge kwenye hayo majimbo. Inafikirisha mno aina ya demokrasia iliyopo CHADEMA.. je, hakuna wanachama wengine wa CHADEMA wanaotamani kupata nafasi ya kuwakilisha wananchi wa hayo majimbo bungeni?

Lema, Sugu, Msigwa, Heche, Pumbulu, Mbowe, Mnyika na baadhi ya makada wengine waliowahi kuwa wabunge tayari ni kama wameshajipitisha kugombea ubunge bila kujali katiba ya chama chao inavyotaka. Hata kwenye urais tayari Lissu kashapitishwa nje ya utaratibu wa katiba yao. Kama hawawezi kuwa na heshima kwa katiba yao hawataweza kuisheshimu katiba ya nchi. Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kuwafunulia watanzania jinsi hiki chama kilivyojaa mbwa mwitu walijivika ukondoo kwa nje. Watanzania hawawezi kuruhusu watu wasioiheshimu katiba yao wenyewe kuingia ikulu.

Huku CCM hadi muda huu hakuna mbunge mwenye uthubutu wa kujinadi kuwa lazima atagombea tena kwenye jimbo lake 2025 kwa sababu wanajua kazi ya wajumbe kwenye mchakato. Michakato ya majimboni huwa inawatoa jasho sio kitoto. Sisi tunafurahia kwasababu demokrasia ndo inavyotaka. CCM ilishaamua kufuata katiba yake inavyotaka na sio kujiamulia kama ilivyo CHADEMA. Imeshathibitishwa kuwa CCM ndo inaweza kuongoza nchi hii. Hata wapinzani wanajua bila CCM imara hata wao watayumba. CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wafuasi wa chama cha Mbowe.
Kwani unataka uwapangie?Wenyewe wamelalamika?Hiyo inaonesha jinsi gani unawaogopa.Au unapenda waletwe watakaokuwa rahisi kununuliwa?
 
Unachoweza kujifunza CCM ni wizi tu
 
Hivi fomu za kuwania urais 2025 kwa tiketi ya ccm zitachapishwa ngapi vile? Hebu nikumbushe mleta mada.
 
Back
Top Bottom