Kwanini Wahariri wa Magazeti ya Leo wametoa Taarifa ya Ruzuku ya CHADEMA kwa Kuwasuta na Kuwashushia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,170
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
 
Kinana amewapa agizo kuishambulia Chadema ili kudhoofisha maandamano yao.
 
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
CCM inatoa ruzuku tena kwa kiapo cha damu kwa hizo media.

On second thought, inawezekana yule mtaalam wa mitama ya mkono wa goli ndo kaandika hizo tahariri. Nafahamu how capable he is.

Wapuuzi sana
 
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
Naunga mkono hoja
 
Soon hata report ya CAG mtaiita ujinga

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
special mental case
 
special mental case
Special Mental Case yangu inazidi hii yako hapa chini kwa kujua kabisa kuwa hujui Kiingereza halafu bado unajitutumua Kukiandika na Kukikosea na Kukichapia hivi?
Screenshot_20240202-203850.png

Screenshot_20240202-205325.png
 
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
Ungescreen shoot hilo hiyo Sehemu Kwenye hilo gazeti,hbr picha ni sawa na Pilau bila masala.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu "media" zetu huwa namkumbuka marehemu Benjamin Mkapa alipokataa kuongea nao.
Umesahau si kwamba alikataa kuongea nao bali alipotua tu pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ( Dar es Salaam ) kutoka Safari yake ya Kimaifa aliwaita Waandishi wa Tanzania WAPUMBAVU ( FOOLS ) na kusema kuwa atakubali Kuhojiwa na BBC pekee kwakuwa ndiyo Wanajielewa na wako Kiuweledi zaidi huku akiwakubali mno.
 
Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa.

Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie.

Mmenikera sana.
Umechelewa kuwafahamu ndugu.
Hao ni hovyo kuliko uhovyo wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom