chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Gongo la Mboto 2025: CHADEMA wadai mambo 2 tu kwenye Sheria ya Uchaguzi

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua. Anataka kufia madarakani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

    Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha. Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza...
  5. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikufanya uchaguzi wa viongozi mwaka 2023?

    Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika? Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja. Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kada mwandamizi wa CHADEMA kulalamikia mialiko ya ikulu ni ishara nzuri ya kukubalika kwa Rais Samia

    Huko Instagram na Twitter kumetokea malalamiko ya kada mwandamizi na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere kuhusu kutoalikwa kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa ikulu na Rais Dr Samia Suluhu ambaye pia ni mwenyekiti wa chama pendwa CCM. Nimesikitika na waandaaji kumsahau...
  8. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Boniphace Jacob (Boni Yai): Mwenyekiti ajaye CHADEMA?

    Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja. Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu] Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa CHADEMA akinukisha Gold FM, Kahama

    Kwa hakika CHADEMA imekamilika. Kwa maana makamanda wake takribani wote, ni moto 💥🔥💥! Akihojiwa live leo na kituo hicho maarufu 88.7 pande za huko, kamanda huyo hakumung'unya maneno. "Kwamba: 1. Bila katiba mpya, kwa hali ya sasa rais anaweza kufanya lolote ikiwamo ndivyo sivyo bila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

    Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo. Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

    Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

    Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii: 1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO? a) Kuna kuenguliwa b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango gani na Dodoma?

    Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk Na...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  15. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

    Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano. Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu. Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia...
  18. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

    Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto. Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu. Pia, kikao hicho kitakachohitimishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kitafanya...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa

    Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
Back
Top Bottom