Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.
This is cheap politics.
Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
Niliwahi kusikia kwa Mwalimu wangu kuwa historia ina tabia ya kujirudia na kwamba hakuna jipya chini ya jua.
Kwamba hata haya mavazi na fasheni zake si jambo jipya. Yaliwahi kuwepo kwa nyakati tofauti.
Kabla ya Uhuru wetu 1961 nchi ya Tanganyika (sasa Tanzania) ilitawaliwa na Serikali ya...
Friends and Our Enemies,
Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki...
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete
After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea...
Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu.
Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.
Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha.
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika.
Kama...
Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi. Bahati mbaya CCM wakalipindisha. CHADEMA nao katika kupigania kote tume huru ya uchaguzi na...
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani.
Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.
Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.
Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno
Dkt. Tulia...
"Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!"
====...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.