ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Unless the international community acts soon, the ruling CCM will steal the October elections. Zanzibar will descend into crisis

    For generations, Tanzania has been a beacon of peace and stability in a region characterised by civil unrest. It has stood out as a wise kid among more restless neighbours. In 1979, for instance, the town of Moshi hosted critical Ugandan talks that led to elections in 1980. In 1993 and then...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge wa CCM wageuka kituko, Komandoo Mashimo naye atangaza nia Jimbo la Kibamba

    Huku ndio tulikofikia .
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

    Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu...
  4. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

    Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Je, Nassari kujiunga CCM?

    Taarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo. Ameonekana akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya. Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania CCM inategemea vyombo vya dola wakati wapinzani wakitegemea nguvu ya Umma, Nani zaidi

    Kama alivyonukuliwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally hivi karibuni "akijimwambafai" kuwa Chama chake cha CCM, kitaendelea kubaki madarakani milele na milele, kwa kutumia vyombo vyote vya dola vilivyopo nchini ambavyo kama alivyonukuliwa yeye mwenyewe kuwa wao ndiyo wanavimiliiki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT, mkishindwa kuwa kitu kimoja na kuachiana majimbo mtawafaidisha CCM

    Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati wa pamoja juu ya namna bora ya kushirikiana katika uchaguzi huu,basi watakaofaidika na hali hii...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema, nawapa points za kumshinda CCM

    1. Ajira - Hivi inawezekanaje taifa kubwa kiuchumi inashindwa kuajiri watoto wake angalau hata ajira mpya za kiutumishi walau hata 20000.noma sana maumivu yapo wanafunzi hawana tena mwamko wa elimu wanapoona kaka zao wamesoma mpaka udaktari na hawana kazi. Chadema mje na sera ya kuwapaje watu...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Anguko kubwa kwa watu wote maarufu wanaodandia siasa za CCM wakati wa uchaguzi

    Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
  10. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Singida Magharibi wananchi wamlilia Hamisi Lissu Mahanju wa CCM kuhusu ubunge, wadai Kingu ni mwongo

    Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida. Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo ambalo limekua chini ya CCM tangu Uhuru, inaonekana wananchi wa eneo hili wamechoka sana...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja. WASIFU Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
  12. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

    Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  14. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Chiduo (Marehemu) Gairo yapata Dkt. Joel Mmassa mhadhiri UDOM kunyukana kura ya maoni CCM na tajiri wa Gairo mhe. Shabiby

    Na mwandishi wetu Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani mkali jimboni kwake. Mtoto wa mwalimu mstaafu na mzee maarufu wa Gairo Mzee Johnson Mmassa...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 WanaCCM walioichafua CCM 2015 hawana moral Authority ya kurejea 2020

    Wapo wana CCM walioamua kuichafua CCM Mwaka 2015 kisa ni maslahi yao binafsi (sio kufuta upepo wa Lowassa) yaani waliamua kufanya fitina ili CCM ianguke ingawa CCM haikunga ili survive ..ilipambana na baada ya hapo wana CCM hawa wakarejea kinafiki ndani ya CCM na kuanza tena tabia zao chafu za...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu Makini wako Chimbo, kipyenga kikilia taharuki itawamaliza zaidi CCM ya sasa!

    Hotuba za Uchaguzi na Ilani zinaandaliwa kwa umakini wa hali ya juu. Nimechungulia ya Chama kimoja - wameshindwa kukosoa asilimia 18 tu yaliyowekwa kwenye Ilani ya CCM inayomalizika yameshindwa kutekelezwa. Kwa maana hiyo katika Sehemu ya Utangulizi wa Ilani ya Chama hicho imeeleza vema jinsi...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti mia sita (600) za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha Mapinduzi na vya kawaida

    TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
Back
Top Bottom