Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.
CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT.
Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa...
Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016.
Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards"
Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana haramu na linachukuliwa hatua Mara moja!
Mfano halisi ni hivi majuzi tu wakati kiongozi wa chama cha ACT...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM.
Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge...
Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero
Oktoba mwaka huu wa 2020 Zanzibar inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa Wawakilishi, Wabunge na Rais. Vyama viwili vinatarajiwa kuwa na nguvu kubwa katika uchaguzi huu, kwa maana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na chama cha ACT Wazalendo.
Katika kila chaguzi Jumuiya ya Kimataifa imekuwa ikiinyoshea...
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona...
Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea wa 30 katika mbio hizo za Urais.
Vile vile Mussa ni Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi...
Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo.
Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM.
Tumechoka na habari ya kumchagua...
Kwa haya yanayojiri katika kipindi cha miezi mitatu hivi hadi Watanzania waingie kwenye vyumba vya kupiga kura sio mambo mazuri kwa CCM na uongzi uliopo.
Vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa wana siasa vinaendelea wakati huu. Mnaojua ukweli ni kwamba vitendo hivi vitazidi kuongezeka hasa...
Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais wa Zanzibar.
Kadhalika mkutano huo utajadili na kupitisha Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Pia kanali...
Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
Master J amenukuliwa akisema "Mimi nipo CCM tangu zamani, natangaza nia, uchaguzi wa mwaka huu, Chama kikinipa...
Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Manyara inawashikilia mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi tawi la Maisaka Katoi tawi la Babati Bakari Katibu na Katibu wa Tawi hilo Juma Swalehe kwa makossa ya kuomba na rushwa ya Shilingi laki mbili(200,000). Kinyume na Kifungu cha 15 cha Sheria ya...
Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
-
Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.