Kila mmoja na maamuzi yake!Kama ni kweli mwache aende. Ila kama ni kweli, basi vijana wengi wanaharibu heshima yao kijinga sana
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele!Kila mmoja na maamuzi yake!
Ndo meza za mikakati hizoMeza hiyo chafu kama za wauza samaki wa ferry
Basi piga kimya mwendo ni wa miguno tu!Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele!