Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 653
- 1,058
Hotuba za Uchaguzi na Ilani zinaandaliwa kwa umakini wa hali ya juu.
Nimechungulia ya Chama kimoja - wameshindwa kukosoa asilimia 18 tu yaliyowekwa kwenye Ilani ya CCM inayomalizika yameshindwa kutekelezwa. Kwa maana hiyo katika Sehemu ya Utangulizi wa Ilani ya Chama hicho imeeleza vema jinsi CCM ambavyo wametekeleza asimilia 18 tu ya Ilani yao ya 2015.
Asilimia 21 yametekelezwa mambo yaliyoibuliwa ghafla ghafla tu nje ya Ilani ya CCM ambayo yanaonekana ni ya Magu mwenyewe kwa utaratibu wake. Asilimia 61 ya mambo yaliyopo kwenye Ilani ya CCM ya Mwaka 2015 hayajatekelewa ilivyopangwa na mengine yametekelezwa kwa kiasi kidogo sana.
Ukitathmini kwa haraka haraka inaonesha Magu ana nguvu kuliko hata Chama chake manake mambo yaliyotekelezwa ambayo hayapo kwenye Ilani kwa uamuzi wake mwenyewe ni asilimia 21. Baadhi ya mambo yalitekelezwa nje ya Bajeti zilizopitishwa na Bunge. Wapinzani hawa wameeleza pia kuwa mara baada ya kuingia madarakani Magu alifuta Sherehe za Maadhimisho ya Uhuru na kupeleka fedha hizo kwenye mambo mengine. Baada ya kufanikisha hilo ndipo ikawa kawaida tu yeye kuamua mara zote kubadilisha mipango ya nchi iliyotokana na Ilani ya Chama chake kwa kuyatenda yaliyo kwa utashi wake. Hilo limemfanya aonekana kama Dikteta.
Nimechungulia Ilani na baadhi ya hotuba za wapinzania zimekaa vizuri kwa kweli. Zina mkakati wa ukosoaji. Kwa namna Serikali hii isivyopenda kukosolewa najua ukosoaji wa mwaka huu umekaa vizuri sana kiasi kwamba ukianza tu lazima CCM wapate Taharuki na wataharibu Kampeni zao na mwishowe watapigwa kiulaini sana sana!
Tena akitumika Membe kuyasema hayo itakuwa mbaya sana kwa CCM yetu.
Tusubiri kipyenga!