ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Natabiri kuna siku Bernard Membe atarudi CCM

    Machi 1995 mwaka wa uchaguzi, Augustine Mrema aliondoka CCM akasema atagombea urais upinzani. Julai 2015 miezi michache kabla ya uchaguzi Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu aliondoka CCM akatangaza atagombea urais upande wa upinzani. Julai 2020 mwaka wa uchaguzi, Membe Waziri Mambo ya Nje Mstaafu...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi sifa kubwa ya kuteuliwa na Rais kwenye nafasi za utumishi wa Umma ni kuwa kada kindaki ndaki wa CCM?

    Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi ni kama mfuniko na pipa

  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuweka mabadiliko ya Katiba kwenye ilani ya 2020-2025 wanalenga tupate Katiba ya wananchi au ya watawala?

    Chama Cha mapinduzi kinakusudia kuja na agenda ya katiba mpya kwenye ilani,je kwa sheria iliyopitishwa juzi bungeni ya kuwawekea kinga ya kuishtakiwa viongozi wa mihimili tunategemea katiba iletwe na CCM?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha watia nia wa CCM kuzidiana kwa kugawa pesa ili kujitambulisha

    Yaonekana CCM ndo tatizo la nchi hii. M/kiti wao alisema hataki rushwa katika uchaguzi. M/kiti huyo anasisitiza atawakata wagombea wote wala rushwa. Akazidi kusema rushwa ni mdudu mbaya sana! Baadaye ameruhusu wagombea kujitambulisha majimboni. Huku majimboni imekuwa ni kugawa pesa. Kila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

    Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni. Hatua hii inalenga kupunguza vurugu na mizaha ndani ya chama. Chanzo: Azam tv!
  8. mbinguni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu, Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi 90 Wilayani Kilwa mkoani Lindi wamerudisha kadi za ACT-wazalendo na CCM na kujiunga na chama cha wananchi CUF

    #HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani

    7 Julai 2020 Rondo, Lindi Tanzania ’CCM ilinionya, Ukimchallenge huyu kutaka Urais utafukuzwa chamani ’ Bernard Membe Sisi wale wa CCM ya zamani tulionekana kama kwamba hatujafanya lolote jema na hawa wanaojiita CCM Mpya. Membe aelelezea utofauti wa aliyoiita 'CCM ya zamani' na 'CCM mpya'...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Nani alikudanganya kuwa CCM na Polisi Tanzania hawana Vinasaba vya Undugu, Mshikamano na Ushirikiano?

    ULINZI WAIMARISHWA DODOMA: Dodoma: 07 Julai, 2020 Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama. Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
  12. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  13. jmushi1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM wanaotaja Membe kuteuliwa na CHADEMA bila kumtaja Lissu, ni propaganda chafu. Membe hawezi kuteuliwa bila ridhaa ya Lissu!

    Wanajamvi, Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu nafasi ya kuiwakilisha chadema kwenye uchaguzi mkuu wa rais mwaka huu Oktoba. Lakini kwa uelewa wangu...
  14. dosama

    JamiiForums Tanzania Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tume huru ya uchaguzi haitoshi kuiondoa CCM madarakani

    Habari waungwana? Mara zote ukweli haupendwi na wapinzani na wanaCCM pia hawaupendi. Ukweli ni kwamba CCM haiwezi kuondolewa kwenye dola kwa kutumia tume huru ya uchaguzi. Simaanishi kuwa Tume huru ya Uchaguzi haina maana hapa nchini. Nitaelezea hili kwa njia ya swali kisha msomaji utajibu...
  16. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  17. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo. Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safari hii Jini Kizaizai atakuwa anazunguka tu ndani ya CCM yenyewe

    Uchaguzi huu ukipitishwa tu na CCM kugombea Udiwani au Ubunge, UMESHINDA. Wala hauna tena mashaka sijui upinzani. Yaani huku Lumumba ni watu kutafuta tu connection za watu majimboni. Sasa hivi ubaya ubaya unafanyika ndani kwa ndani; yaani usishangae tu ukasikia mtu kapitishwa na Chama kesho...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

    Wana Jf, Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo. walioshiriki kuua...
  20. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanaposema “wamefanya bora zaidi ya wengine”, je wanajifananisha na nani? Ni sisi wananchi tumelala au tumerogwa tusione?

    Wanajamvi, Nimekutana na thread nyingi sana za kuisifia serikali ya ccm kuwa imefanya vyema sana! Na kutuambia kuhusu maendeleo, huku wakijitapa na kijisifia! Lakini nimejikuta nikianzisha thread hii haswa baada ya kukutana na thread hii Asante Ndugu Rais. Majaribio ya treni yameanza Arusha...
Back
Top Bottom