ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mna ushahidi gani dhidi ya CCM?

    Mauaji yanatokea, watu wanapotea, wengine wanashambuliwa, wengine wanaokotwa baharini, shutuma zimetokea kuelekezwa upande wa CCM. Hivi vyama vya upinzani mnaweza kuweka ushahidi unaokubalika kuwa CCM na serikali yake wanahusika? Vyama ambayo mpaka imebakiza siku moja ndio wanaanze kupiga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tuwe makini na wanachama wetu

    Habari Wana JF na Makada wote Mliopo humu.Huu mwaka 2020 Ni mwaka wa Uchaguzi Ila Kuna Mambo nimeona na Kujifunza nikiwa Kama Mwana CCM. 1.Watu Wengi Waliopo ndani ya CCM hawakipendi Chama kwa Maslahi mapana au Lah.Wengi Wapo Kwa ajili ya Maslahi yao Binafsi tu. 2.Mpaka dakiki hii Chama chetu...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  5. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

    Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza. Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi ni Mlezi wa CCM au Vyama vyote vya Siasa? Maana kwenye Mikutano Mikuu ya Wapinzani haonekani

    Nauliza tu kwa nia njema kwa sababu malezi yana maana pana. Mara ya mwisho nilimuona msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi kwenye mkutano mkuu wa CCM. Baada ya hapo amekuwa akiwakilishwa na msaidizi wake mh Nyahoza katika Mikutano yote ya Vyama vya Upinzani iliyofuatia huku akitoa udhuru...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CCM mkiwa mnajiandaa kuwa Chama cha Upinzani

    CCM jiandaemi kuwa Chama cha Upinzani, muone raha ya kugaiwa ruzuku na Serikali iliyo madarakani. Kwa kuheshimu katiba ya nchi sidhani kama mtazuiliwa kufanya siasa lakini mjiandae vyombo vya dola kuwaona kama raia wa kawaida. Msione ajabu nusu ya wasanii kuunga mkono upinzani kwani hatimae...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

    MALISA GJ Baada ya Lissu kunusurika risasi 37 na waliompiga, ama kutojulikna , na baadaye kupokwa ubunge wake, na pia kunyimwa matibabu na mafao yake, na watu ambao wana majina ya watakatifu , "Yoana Nduguwai" na "Yohana Alcohol Padlock" huku wakimtakia kifo, Mungu kamtende miujiza kaibuka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

    Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana. Tumewasweka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Maajabu: CCM inajua kuna wagombea wamepita kwa kutoa Rushwa ila TAKUKURU hawajamkamata hata mmoja nchi nzima

    Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu. Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Ilani ya CCM inasema nini kuhusu kurejesha viwanja serikalini/TFF?

    CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa. Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama. Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Wapenda...
  14. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni na Wanafunzi wa vyuo vikuu, Bodi ya Mikopo (HESLEB) haiwatendei haki. Amueni hatima yenu 2020 hii, mnaweza kuitosa CCM

    Kama navyosema siku zote mimi ni kada hai wa CCM na naendelea kukipenda CCM. Lakini nitafurahi sana chama changu kiadabishwe awamu moja au kichachafwe ili kipate adabu kisirudie makosa yale yale na kiache kudharau wanyonge wahali ya chini. KWANINI NASEMA CHAMA CHANGU KIADABISHWE? 1. Serikali ya...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu umekuwa tishio kwa CCM?

    CCM + JPM imekaa miaka mitano ikifanya siasa, na haikutosha wakajenga mabarabara, wakanunua mandege, wakafanya kila aina ya kitu huku Lissu akiwa Belgium akiwekewa vyuma lakini cha ajabu wanamuogopa mtu wa aina hiyo. Mimi ningeshauri CHADEMA tungefungua account kwenye mitandao ya Youtube...
  16. Chipoku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

    Habari wana JF! Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

    Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Sina shaka CCM watafanya kampeni za matusi na kashfa kama 2015. Je, Tundu Lissu ajibu mapigo? Je, vyombo vitakaa pembeni au vitapendelea CCM?

    Uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%. Kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015. Bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ni rahisi zaidi kwa CCM kuachana na Rushwa kuliko wapinzani kuweka mgombea mmoja kwa Rais na Mbunge

    Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
Back
Top Bottom