Kauli ya Mwenyekiti Taifa CCM kwamba kila mgombea ajipiganie inatulaza roho juu tuliounga juhudi, hatuna mizizi CCM, tusaidiwe

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,551
19,702
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu, hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wanaCCM tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
 
Mliambiwa kuunga mkono juhudi ni kuhama?

Na mtaulizwa, tangu mmehamia kule, mmefanya nini kuonyesha mmeunga mkono juhudi?

Mlijishushia hadhi sana kwa kushindwa kumsaidia mheshimiwa rais kwa kufanya anayotaka mahala mlipokuwa . Nlitegemea mngekaa katika vikao vyenu vya ndani, kuainisha mazuri ya Rais wetu na kuratibu namna gani mtaunga juhudi zake, na mkawa bayana ili kama kuna mwingine angeleta mizengwe, basi huyo ndiyo angeonekana adui wa juhudi.

Hata hivvyo si vibaya. Rais wetu anaendelea kuchanja mbuga. Anahitaji kuungwa mkono na kila Mtanzania mahala popote alipo na katika kila jambo alifanyalo. Mnaweze kuendelea kuunga mkono juhudi hizo hata mkiwa nje ya Bunge kama umma wote wa Watanzania unavyofanya.

Karibuni sana.
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu,hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wana ccm tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum

Kuna kitu kina shida kwenu, si Mmeensa kuunga juhudi? Mmempenda Magufuli? Sasa kuunga juhudi kuna Husiana nini na Ubunge?

Mmesema nyie wazalendo na mnaenda kuunga juhudi, endeleeni na uzalendo wala msiwe na wasiwasi!
 
Leo tutapata usingizi wa tabu sana, CCM mnatutupa kweli? Upendo mliotuonyesha umeishia wapi? Jamani jamani

Kamati Kuu,hasa Mwenyekiti, hatuna mizizi katika chama na tutabaguliwa, hawa wapiga kura na wana ccm tuliowakuta ni waarabu wa Pemba,wanajuana kwa vilemba,tunaomba upendeleo maalum
Pole mkuu waliowake watabakikuwa wake hayanmaandiko
Somanyakati
 
Inategemea waliahidiwa nini, haiwezekani ugumu wa kupata nafasi kupitia upinzani ulivyo ,halafu waishie kwenye kuunga mkono jitihada tu. Itakua kichekeshi
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom