Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huu ni ushauri tu ambai unaweza kupokelewa au kukataliwa.
Inawezekana kabisa kuwa CCM hawamind mambi ya kupamba kumbi zai za mikutano, basi wazingatie hata unadhifu wanapovaa sare zao mikutanoni na kwenye makongamano.
Unamkuta mwanaccm amevaa sare iliyochanika au yenye viraka hii si sawa kwa...
Polepole anasema majimbo yote yenye mbunge wa ccm hata kama hafanyi vizuri asisumbuliwe na mtu. Nafikiri watanzania tunajipeleka kwenye utawala wa ki-imla kwa kushabikia chama hiki na kuua upinzani. Bado hatujaona machungu ya kuua nguvu ya upinzani. Wenzetu walioendelea kamwe hawafanyi hivi...
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
ccm
jpm
lami
leader
maamuzi
maendeleo
mafanikio
magufuli
miradi
miundombinu
mkombozi
president magufuli
rais magufuli
simba
tanzania
ujenzi
uzalendo
vita
watoto
Japo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi...
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.
Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi.
Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki...
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi.
Spika wa Bunge la...
Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.
Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.
HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda...
Kuhusu nadharia kadhaa za sababu ya muungano huu ikiwemo suala la Usalama wa Zanzibar baada ya Mapinduzi, Hofu ya Ukomunisti na mengine ambayo leo sio mada za mjadala huu, tunabaki kuiona nafasi ya ASP na baadae CCM katika kuidhoofisha hadhi ya Zanzibar kwenye Muungano.
Tuanzie hapo. Baada ya...
Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile.
Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm...
Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini.
Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA
02 Januari, 2020
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019...
Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT.
Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako...
Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya.
Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho Mpoto na wengine wengi wanaopiga jalamba muda huu.
Changamoto itaikumba zaidi CCM kwani ndio yenye...
Tunamshukuru Mungu ametupa pumzi sote tumevuka mwaka 2020. Naipongeza Serikali yangu na watanzania wote kwa amani na upendo baina yetu pamoja na misuko suko yote.
Ndugu wazee wastaafu ktk ngazi ya juu ya Taifa nawaandikia ujumbe huu wala siwafichi wala sipepesi macho ila nasimama kusema...
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"
Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
Happy new year 2020 to y'all members of JF
Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati
Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
Kesho kutwa Mungu jalia tunauanza mwaka 2020, ambapo CCM wana kazi moja kubwa kusuka ama kunyoa, wasiojua tafsida CCM wana kazi moja kuiokoa nchi au kuiangamiza.
Kila la heri wana JamiiForums kuelekea new year Mungu awabariki sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.