Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko...
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa Mjini ili kulipa kisasi baada ya Mh Msigwa kumtaja bungeni kwa kuponda mipango ya Wizara ya mali...
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge...
Nimeangalia sana mwenendo wa CCM ya leo na viongozi ambao wana historia nzito sana katika CCM na Tanzania kwa ujumla, na kufikia muafaka kwamba safari ya CCM kwenda huko wanakojua wenyewe mwisho wake sio mzuri.
Tangu uongozi wa CCM ya sasa uingie madarakani umekorofishana na karibu viongozi...
Wakuu Kwa sasa nimeamini kabisa kwamba Hakika ccm maji yamefika shingoni , hata kama ni Dodoma ambako inasemekana ni ngome yake , hiki chama hakiwezi kushinda uchaguzi wowote ule unaoshirikisha vyama vingi na unaowapa uhuru wananchi kuchagua baada ya kusikiliza kampeni za wagombea wote kwa haki...
Nimeshawasili eneo la tukio. Matayarisho yasiyo na dalili ya dalili ya ahirisho yamefanyika na kukamilika. Hapa Dodoma, wahusika wameshafika. Wamejipanga na kupangika.
Makada waandamizi wa chama wanapishana na makabrasha yasiyo na bashasha kuhusu suala la akina Membe, Makamba na Kinana hapa...
Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.
Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
Mwaka ujao, 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya uhuru toka Waingereza walipoamua kutupatia Uhuru wetu wenyewe.
Mwaka 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi, kwa miaka yote hizo Tanzania ikiongozwa na chama cha mapinduzi.
Ni ukweli ulio wazi kua hata ccm...
Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli
Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote
Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya
Nawatakia kila la kheri wanaccm wote
Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
4 Feb 2020
Zanzibar ilivyopoteza kwa kuiuwa ASP
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye serikali ya Zanzibar, Juma Duni Haji, anasema ingawa CCM Zanzibar wanaadhimisha miaka 43 ya kuundwa chama hicho, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa kuzaliwa kwa CCM hapo mwaka 1977...
Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo...
CCM, mnajua hatari mnayohubiri kwenye kuua binadamu?
SIASA ya nchi yetu imechukua sura mpya sana katika awamu hii ya tano. Tumerejea hatua nyingi nyuma katika kuheshimu misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, utawala bora na Uhuru binafsi. Hatuna tofauti na tawala za KIBABE za nyakati za...
SIASA ya nchi yetu imechukua sura mpya sana katika awamu hii ya tano. Tumerejea hatua nyingi nyuma katika kuheshimu misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, utawala bora na Uhuru binafsi. Hatuna tofauti na tawala za KIBABE za nyakati za kitambo huko Marekani ya kusini. Tupo sehemu mbaya...
Katinu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally amewaonya makada wa CCM kuacha kutoa kauli tata kwenye hadhara na mitandaoni zinazoihusisha CCM na vitisho dhidi ya wapinzani.
=====
Wakati wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wakikemea kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa zinazotishia maisha ya...
Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM)
Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
Kwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani:
1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni...
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.
Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.
Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete...
Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
*Lengo awasaidie ubunge Diamond, Babu Tale
Na MWANDISHI WETU
WAKATI homa ya Uchaguzi Mkuu wa Udiwani, Ubunge na Rais likipanda Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) linaloongozwa na msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kujipanga kwa viongozi wake kutaka kuwania ubunge na udiwani.
Katika kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.