Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mada inahusika.
Kwa miaka mingi ndani ya Serikali ya Zanzibar kumekuwa na mazoea ya kuchaguliwa kwa itikadi, kujuana na undugu.
Yaliyopita ni mengi, lakini kwa muktadha wa mada hii tuangalie hii miaka mitano kutoka 2015 - 2020.
Ikumbukwe Zanzibar inahitaji kuponywa majeraha mbali mbali ya...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
Nilikuwa nalipenda saana hili gazeti miaka ya nyuma lakini hivi karibuni nimepoteza kabisa hamu ya kuliona mbele yangu kutokana na habari zake kuegemea upande mmoja tu.
Pengine limebadilisha wamiliki siku hizi! naomba kujua manake hili sio Majira tena ile iliyokuwa imejizoelea umaarufu wa...
Katika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.
Wapo wagombea wengi walioshika namba 1 hadi 5 wanahitaji umakini zaidi katika kuwateua, hao ndio walipiga wenzao buti za...
Jana jioni nilikuwa naongea na walimu fulani aisee CCM imepoteza kwao. Nilijaribu kujifanya Mimi ni mwanaCCM nikaimba ngojera ya stiglaz standadgeji vivuko uchumi wa kati flyova nk.
Majibu yao yalikuwa haya.
Miaka miwili nyuma waliongezwa shilingi (5000-7000) kwenye mishahara yao.sijui ni...
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni...
Wanajamvi. Amani kwenu
Leo ni siku nyingine ya kutafakari utendaji mzuri wa Rais Magufuli na serikali yake katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 - 2020. Leo tuangalie Sekta ya Kilimo.
Katika jitihada za kuendeleza kilimo, kuliundwa dirisha la kilimo katika Benki ya Uwekezaji...
Nasema hivi, shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM, ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA
Wengine siyo washabiki wa siasa ila haya makarateee niliyoanza kuyaona yanakera MNABOA SANA. sikilizeni nyie jamaa Hii...
Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
Salaam Wakuu,
Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA.
Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City.
Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Mwl. Nyerere alikuwa miongoni mwa vijana wanufaika wakuu wa Utawala wa Wakoloni. Alipata nafasi ya kusomeshwa hadi vyuo vikuu na alikuwa ana ajira kwenye serikali ya wakoloni na kupata mshahara. Hawa ndio waliopaswa kuunga juhudi kwelikweli za utawala wa mkoloni.
Uhuru wetu huenda ungechelewa...
Hivi karibuni hili neno limekuwa likitumika kila wakati, na kuna wakati namsikia hata Raisi Magufuli akilitumia - mabeberu. Nimeona kuwa wakati fulani hata vyama vya upinzani wakiambiwa ni marafiki wa mabeberu.
Wakati fulani nimeona kwamba neno mabeberu linaelekezwa kwa mataifa tajiri ya nje...
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.
Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.
CCM na...
Tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi utawala wa Rais Magufuli Mwenge umekuwa ukikimbizwa maeneo yote ya Tanganyika na Zanzibar.
Mbio za Mwenge ni ibada kama zilivyo ibada za imani nyingine. Unaposhiriki mbio za Mwenge unafanya Ibada usiniulize kama ni sahihi au batili inategemea mtazamo wako...
Wasalaam, CCM imetuongoza watanganyika kwa takribani miaka 59 na kuongeza umasikini miongoni mwetu. CCM imepoteza dira hakuna Sera au mawazo mbadala inafaa sasa ipumzike sababu za kuipumzisha ni hizi;
1. Rushwa (wajumbeee)
2. Umasikini wa kutupa (wanyonge)
3. Maslahi duni kwa Watumishi wa Umma...
Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.