CCM msikosee kurudisha hawa wazee wasioridhika, mtalia

CCM msikosee kurudisha hawa wazee wasioridhika, mtalia

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
Chama changu CCM, kama hàmjajua, wapinzani wako macho wana hamu kuona mnachagua nani.

Naomba niwajuze; msikosee kurudisha wale wazee wasioridhika. Kuna wazee wamekaa jimboni miaka 10-15-25 kama vile bunge ni lao, hakuna mwingine wa kuwapokea.

Naomba tusikosee kwa hili.

Nawatakia uteuzi mwema kuelekea uchaguzi.

ANOTHER54JPM
HALLA CHAIRMAN
 
Waliotumikia miaka 15 inatosha, na wa miaka 10 kusiwe na kificho cha mchango wake wa maana, wala ubinafsi zaidi, dhana ya continuity, valuable assets/precious brains itazamwe zaidi, wabunge wafanyabiashara ifike mwisho warizike na biashara zao hatutaki wezi, lobbying ambazo ni biased kabisa. Awamu hii ngoma inogile.

Ngoja tuone yajayo
 
Ni naomba pale bunda walirudishe lile zee lisilojua kustaafu
 
Wassiraa alikuwa analala mjengoni, hata pale kwenye kuchukua fomu alilala
 
Back
Top Bottom