Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo
Mfano wa hizo thread ni
Mzee shomari---------
Mzeee mgaya anasema----
Hanspope sio -----------
Marefa wa Bongo ----...
Habari
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA.
Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA.
TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON.
1. KWANINI CCM WAMESHINDA?
Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi.
Tuanze na MATOKEO Chanya:
CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania.
Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia.
Naona baada ya kuhakikisha kuwa upinzani makini umekufa mioyo yenu imetulia sasa mnajiandaa kula matunda ya...
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho.
---
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila kumpinga. Hilo haliko kwenye Katiba ya CCM lakini limekubalika kwa watu wa CCM.
Kwa msingi huo basi...
Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inatarajia kufanya kikao chake jijini Dodoma kwa ajili ya kupitisha jina la atakayegombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania na naibu wake.
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kifungu cha 104(h), kamati hiyo ina jukumu la kufikiria na...
Uchaguzi umepita, ila consequences za Uchaguzi huu zitaathiri Nchi hii na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sana ijayo kwa maoni yangu binafsi CCM imeshinda pambano (japo kwa umafia wa kila aina) lakini imepoteza vita pana, kitu ambacho kitaiathiri Chama hicho na Nchi kwa miaka mingi sana...
Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni...
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
03 November 2020
CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.
Katibu wa CCM...
Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu.
Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020.
My Take:
Hongera kwao kwa kujitambua.
Wasalaam wajumbe!
Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana vyeo na kurithishana. Bila ya upinzani madhubuti CCM hakiwezi kutoka madarakani leo.
Bila ya...
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.
Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.
Wadau, amani iwe kwenu.
Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi.
Wananchi wakiguswa hata utumie...
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai.
Kama ambavyo CCM imekuwa ikijinasibu kuwa ipo kwa ajili ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge ni vyema sasa ikaonesha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.