ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wasijidanganye kuwa wameshinda hii vita, uwanja wa mapambano tu ndio umebadilika

    Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu. Ila kitu pekee ambacho kinatakiwa kibaki kwenye fikra, mioyo na nafsi zao ni kuwa hii vita haijaisha bado. Kamwe wasijidanganye...
  3. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

    Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu World cup. Mataifa ya africa afcon. Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia. Kwenu CCM tunaomba timu ya ushindi muiingize kambini iboreshe mbinu nyingi zaidi. Watanzania tumechoka kua...
  4. winnerian

    JamiiForums Tanzania Itatokea nini kama 'SIMBA' akiwala na kuwamaliza wanyama wote porini? Madhara ya CCM vs CCM

    Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache. 1. Wananchi kukosa wawakilishi wao bungeni. Wawakilishi kwa maaana ya watetezi wao, kwasababu wote waliopita kupitia CCM hawana ubavu au...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu mnanishangaza sana. Mwenyekiti tutamwambia haya myafanyayo

    Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage. Tulipaswa kuingia mitaani kufurahia sasa tumeufuta upinzani. Hakutakuwa na wa kutupinga au kuzuia maendeleo Tanzania nzima...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

    Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko. Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi. Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna msemo unaosema "Mchawi akishamaliza kula watoto wa jirani, hugeukia watoto wake." Wana CCM tumejiandaaje baada ya majirani kuliwa?

    Wanasema kwamba mchawi akishakula nyama ya mtu huwa haachi. Sasa watoto wa jirani wameliwa wote, na hili dude bado lina njaa, tumejiandaaje kuliwa ndani ya chama chetu? Tutapona?
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

    Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya tujiandae CCM kubadilisha katiba bungeni ili Magufuli atawale milele

    Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni. Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli...
  11. Dua

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Watanzania wote chini ya uongozi imara wa CCM na kiongozi wetu Dkt. Magufuli

    Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka. Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele...
  12. introvert

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

    Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi. Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani. CCM si chama cha siasa...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

    Habari, Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa. Hii iko wazi miaka na miaka. Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  15. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

    This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahsanteni Watanzania kwa kutuchagua ila tusisahau CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani, hakuna visingizio!

    Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi. Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame. CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Mbeya Mjini - Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC, ZEC na CCM hili tamko linasubiriwa na Watanzania wote. Mnatoa saa ngapi?

    Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Wanabodi, Kutokana na majukumu yangu kama Mshauri wa Siasa wa Ubalozi fulani hapa nchini Tanzania , moja ya kazi zangu ni kufanya kitu kinachoitwa "stakeholders mapping", kuwatambua watu muhimu na hii hufanyika kwa kitu kinachoitwa "interactions" hivyo from time to time, huwa nawajibika kuwapo...
Back
Top Bottom