Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani.
Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
CHADEMA LUDEWA WAPIGWA CHINI
Ndg. Joseph Kamonga ambaye ni mgombea wa ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia CCM ameteuliwa na msimamizi wa uchaguzi, Sunday Deogratius kugombea ubunge jimboni humo. Aidha, msimamizi huyo amesema mgombea wa CHADEMA hajakidhi vigezo kisheria.
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
Wanabodi
Declaration of Interest
Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM.
Asiyekubali Kushindwa Sio...
Ikiwa leo ni siku ya kurudisha fomu za uteuzi, tutafakari kwa pamoja:
1. Kwanini wagombea wa CCM hawatekwi?
2. Kwanini hawatishiwi kuuawa?
3. Kwanini hawatuhumiwi kuwa ni raia wa kigeni?
4. Kwanini hawatuhumiwi ujambazi wala ukwepaji kodi?
Tukipata majibu mazuri ya tafakari hizi, bila...
NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika?
Na, Robert Heriel
Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni pamoja na Tundu Lisu kupenya NEC. Hofu kubwa ipo miongoni mwa wafuasi wa Mgombea huyo wa CHADEMA...
Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI?
Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo.
Kinachoendelea sasa nchini katika zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu imekuwa vita hasa kwa upinzani na...
Mgombea Udiwani wa CHADEMA Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery' shitaka hili halina dhamana so kapelekwa magereza.
Uchaguzi 2020 - Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya...
Andrew Chenge amejitokeza baada ya kuwepo tetesi za kuhamia chama cha ACT-Wazalendo na kuongelea tetesi hizo zinasombaa kwenye mitandao ya kijamii. Chenge amewashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kwa heshma waliyompatia tangu 2005 kupeperusha bendera ya CCM kukomboa jimbo kutoka upinzani...
Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.
Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
=========
Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini
Update zaidi kuwafikia
====
Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na wananchi, amesema vyombo vya habari hasa televisheni hazijaona mikutano hiyo kwa hivyo haikonyeshwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi!
Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani Siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola. Upinzani nchini bado...
Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji.
Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu...
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box
MBEZI BEACH
Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
atika
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo katika kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka...
Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?
Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe.
Iko hivi Tundu Lissu anaenda kuwa mgumu zaidi na Upinzani halisi...
POLISI
Hawa wanafanya Mambo ya makusudi yanayochangia serikali na CCM yake kuchukiwa.
Mfano
Kubambika kesi
Kuonea upinzani
No
TRA
Hawa wanaichonganisha serikali na wafanyabiashara wanawapiga wananchi Kodi kubwa na kuwafilisi halafu Wana hapa kazi tu.
HELSB
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.