ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA! Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania FURSA:Waandishi wa vitabu anzeni kuandaa kitabu hiki:The Decline and Fall of CCM

    Naomba nitumie nafasi kuwashitua waandishi maarufu wa vitabu duniani kuwa kuna fursa inakuja na hii si nyingine bali ni ya kuandika kitabu kinachoweza kuitwa: The Decline and Fall of Chama Cha Mapinduzi. Hoja yangu hapa ni kuwa,vitabu vinaweza kuandikwa zaidi ya kimoja,ila ataekuwa wa kwanza...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

    Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema. Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuzuiwa kutumia Chopa yawa Shubiri kwa CCM

    Tundu Lissu is talk of the Town au kwa lugha yetu Tundu Lissu ndiye Habari ya Mjini kwa Sasa. Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameteka nyoyo za Watanzania na ukweli kabisa bila kuongeza chumvi Tundu Lissu ndiye mgombea wa Urais mwenye mvuto kuliko mgombea mwingine yeyote katika...
  6. lolypop

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maneno ya kipumbavu sana, wanadhihirisha chuki na visasi vya CCM

    Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo...
  7. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
  8. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

    Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea, viongozi, watawala acheni kuuza taarifa kwenye WhatsApp mkiamini mpo peke yenu. Verify

    Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa. Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea. Naumia pale...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, acha kujikweza kwa CCM!

    Nasema uache kujipendekeza kwa CCM kwasababu mgombea wo wa uraisi ameshawatisha wananchi lakini hukuchukua hatua yoyote. Mgombea wa CCM anawaambia wananchi wasipochagua CCM watajuta na hatawaletea maendeleo. Mlichukua hatua gani? Kuna vyama viliunga mkono mgombea wa CCM lakini mlikaa kimya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mtapata kura za watumishi wa TRA na BOT na familia zao tu, ambao mliwapandishia mishahara kwa zaidi ya 300%

    Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali ya awamu ya 5, watumishi hao ni wa Mamlaka ya Mapato Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania. Serikali ya...
  12. Matope

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

    Habari wakuu, Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki. Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini. CCM huwa wana mpangilio wa kampeni zake kwa miaka yote, huko nyuma imekuwa cha kushangaza kuna...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni?

    Wenye mwamko mkubwa wa kupiga kura ni CCM vyama vingine kulikoni? Yaani ukiwauliza mtaenda kupiga kura unawakuta wanajibu sijui nitaangalilia huko huko mbele CCM ukiwauliza ni haraka wanakwambia sitakosa kwenda kupiga kura
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgomo baridi CCM Bukoba: Viongozi wa chama wahoji matumizi ya malori kusomba watu kwenye mikutano

    Makatibu Uenezi wa Majimbo ya Uchaguzi Mkoani Kagera wameanzisha mgomo baridi wa kuwalazimisha wenye malori ili wasombe watu kwenda mikutano ya kampeini itakayohutubiwa na Waziri Mkuu Majaliwa anayeingia mkoani jumapili 28/9. Wamedai si vizuri CCM kuendelea kujidanganya kuwa ina watu wakati...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

    Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni. Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu...
  17. albab

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

    Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote) Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana. Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu aendelea kuimalizia CCM Singida

    Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni . Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

    Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri. Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka...
  20. James Martin

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli BAKWATA ni chombo cha CCM?

    BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii...
Back
Top Bottom